Wanaume (baba) tujadili bajeti ya matumizi ya nyumbani hasa chakula cha milo mitatu kwa wanafamilia (tuliooa tu)

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo juu, wanaume tulio oa , tujadili bajeti ya matumiz ya nyumban kwa familia yenye watutakribani 6 yaan Baba, Mama , Mtoto mmoja(miaka 3), ndugu( mashemeji wawili mdogo wa mke na mdogo
Hii bajet sio ya kwako kuifanya itakupasua kichwa,hapa ni mahala pa mke ajue namna ya kubana matumizi kulingana na kipato chenu maana hata ukiacha laki kwa siku kama mpanga bajet hajakaa kwenye nafasi yake bado haitotosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom