Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 12,069
- 25,342
Boss, Engine ya premio ni common kwenye magari ya toyota ndo hiyo hiyo ipo kwenye Ist, raum n.k hayo ndo magari ya watanzania, yanafahamika na wengi.uko sahihi ila kwa nilivoona haitofautiani sana utofauti ni very insignificant ata uamue usivuke 2rpm haizid apo consumption yake labda kama kuna mtu mungine ana actual figure ya consumption ya premio kwa wenye magar ya premio tofauti na theoretical figure
Utofauti unaonekana pale unapoendesha km nyingi. Kama ww unaendesha pungufu ya km 0.5 zaidi ya mwenzako basi mkiendesha km nyingi utofauti utauona kwa hiyo huwezi sema ni theoretical.