Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,031
- 2,458
Vipi mwenye uzi ulifanikiwa ama, maana nami ugonjwa wangu nikiishiwa noti ndo povu kama hili linanitoka, ila nikiona ka text ka simbank mawazo yote yanafutika na kuwa kama akili imejireset. Hili ni pepo la kututia umaskini nitapofanya maamuzi ya kuacha sitomshirikisha mtu ntapambana na hali yangu mpaka kieleweke