Hii ikoje kwa Premio (F) 1490?

Nawapenda wa Bajaji wanashuka kabisa kuangalia

Wenye magari wanapandisha vioo wasipaliwe na harufu ya Diesel na petrol
Haha wa pikipiki na bajaji hawaibiwi kamwe, kwanza mafuta wanayoweka ni yakunusa pia macho direct kwenye amount bar hahaha
 
We utakuwa umeemda sheli ile ya Sinza kijiwen wasenge wale wanaibia watu sana mafuta ya 30 wanakuwekea elf 3
 
Wakuu ninatumia premio f , cc ndogo 1490, kwa sifa nilizowah kusikia kuhusu gari hii upande wa matumizi ya mafuta ni mdogo kama vile ist, ila kinachonishangaza nimeweke lita 10 ( mafuta ya elf 30,000) ile Taa nyekundu kwenye Dash board inawaka mda wote, mpaka gari ikanizimikia na nimetumia mafauta hayo kwa kutembea takriban KM 20 Tu. Shida nini hapo haswa mbona sion ile sifa ya kuwa na low fuel consuption. Nawasilisha naiman ya kupata majibu mazuri kwenu.
Gari yako ina shida. Kama upo dar nicheck 0621221606.

Otherwise huko ulikoweka mafuta umepigwa.
 
Nawapenda wa Bajaji wanashuka kabisa kuangalia

Wenye magari wanapandisha vioo wasipaliwe na harufu ya Diesel na petrol
Hahahaha 😂🤣🤣
Ni kweli kabisa aiseeee!!!! Wale jamaa bajaj ni wajanja kushinda wao, mfuniko wa tank atafungua mwenyewe na pipe ya mafuta ataweka mwenyewe baadae analipia na kusepa
 
MREJESHO!, Baada ya kupata mawazo mengi na uzoefu wenu! Nimeshuhudia kuwa lita 10 kwa premio f , zimeweza kutembea KM 138. Hakika tuwe makini tunapowekewa mafuta sheli.
Kwa hesabu rahis nimetumia lita 8.65 za petrol kwa Umbali wa KM 138, Kwa mantiki hiyo Gari inauwezi wa kutembea KM 16 Per Litre.
 
Kama gari ni Nzima umeibiwa!
Umewekewa mafuta ya shs 3,000 badala ya mafuta ya 30,000
Kwa hiyo gari yako, huo umbali ni mafuta ya shs 3000 tena kama injini iko vizuri haingekausha

Tafuta tena shs 30,000 nenda kituo cha mafuta, na angalia pale kabla ya kuweka ionekane 00.00 na aweke mafuta hadi iandika 30,000 utuletee mrejesho
Kenyewe na premio yake kamekaa kwenye gari kanafungua mfuniko anasubiri awekewe mafuta badala ashuke kama watu wa bajaj
 
MREJESHO!, Baada ya kupata mawazo mengi na uzoefu wenu! Nimeshuhudia kuwa lita 10 kwa premio f , zimeweza kutembea KM 138. Hakika tuwe makini tunapowekewa mafuta sheli.
Kwa hesabu rahis nimetumia lita 8.65 za petrol kwa Umbali wa KM 138, Kwa mantiki hiyo Gari inauwezi wa kutembea KM 16 Per Litre.
Pole sana...vijana wa hovyo sana hao
 
Back
Top Bottom