Recent content by Keylogger

  1. Keylogger

    Haki ya Kufa kwa Heshima: Wito kwa Sheria ya Haki ya Kufa kwa Heshima nchini Tanzania

    Haki ya kufa, mara nyingi hujulikana kama kujiua kwa msaada wa daktari (PAS), ni suala tata na nyeti. Hata hivyo, kupuuza mateso ya watu wanaopitia maumivu makali kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali kunakuwa kukosa kuheshimu haki yao ya msingi ya heshima(dignity). Katika uwanja wa haki...
  2. Keylogger

    Uchambuzi: Mkanganyiko Wa Viongozi, Hasara Na Faida.

    ...........................
  3. Keylogger

    Kisa Cha Mlevi Na Mdada.

    Ndio ndugu @Architectus tumekua tukikataa ukweri kitu ambacho si kizuri hata kidogo.
  4. Keylogger

    Kisa Cha Mlevi Na Mdada.

    Ni ijumaa mida ya saa 7 usiku, tangu nitoke ofisini, unajua tena mwisho wa juma nilikua na ratiba ya kuonana na rafiki yangu wa muda pale mchikichini,tukawa katika kibaa kimoja cha watu wa hali zetu ambapo bia za buku jero zinapatikana,ila pembeni kidogo kuna kibanda kina kile kinywaji cha...
  5. Keylogger

    Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO

    brother niko kwa industry ya Telecom fo 3 years, i know enough by the way its matter ya Telecom+ICT as head she can access anything!
  6. Keylogger

    Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO

    Mtandao kama Vodacom unataarifa(data) asilimia kubwa sana za watanzania wahali zote za kiuchumi yaani hali ya juu (unaweza kukuta hata tajiri kama bakhresa,mengi wanatumia), hali ya kati na hali ya chini kama watu wa huko vijijini wanautumia sana. Sasa kwa nchi hasimu kama Tanzania na Kenya...
  7. Keylogger

    Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Duuh...sina uhakika kama Africa tunahitaji Demokrasia hiyo kama ya Wazungu, labda na sisi tuwe na maana tofauti ya Demokrasia au tutafute mfumo wetu wa uongozi... kumbe keyboard yangu nzima haya ngoja nianze............ Kuna tafiti(research) kadhaa zimefanywa na wasomi wa saikolojia kuhusu...
  8. Keylogger

    Mashirika ya ujasusi na utata wa kifo cha Diana na Dodi

    asante mkuu nayafanyia kazi hayo
  9. Keylogger

    Hakuna sababu Usalama wa taifa kubadilisha mfumo.

    Kumbe m-pesa iligunduliwa kenya tena na kijana aliekua anafaya internship safaricom?? aaah... kumbe keyboard yangu nzima haya tuanzee Tangu kipindi cha mwisho cha kikwete kulikua na malalamiko ya watu kuhitaji mfumo wa usalama wa taifa au TISS kubadilika lakini malalamiko hayo yameongezeka...
  10. Keylogger

    Mashirika ya ujasusi na utata wa kifo cha Diana na Dodi

    Duniani especially Tanzania ujue kunafulsa nyingi sana jamani tufanyeni hata kazia ya kuandika vitu vyetu watanzania kwenye mitandao, tusisubiri tufanyiwe na wazungu et hata ukigugo "jinsi ya kupika ugali" unakuta article kaandika mzungu??? mbongo anaekula nguna kila siku hata kujisumbua...
  11. Keylogger

    Seriously watanzania tuna tatizo!

    The big brain theory kipindi kimoja kizuri sana kipo Discovery science wale jamaa wamechukua magenius af wanawapa challenge mbalimbali za kisayansi daaah.. wanavyo solve sasa kwa teamwork hadi raha kuna jamaa anaitwa erick ana IQ 142 kumbe keyboard yangu nzima ngoja nianze andika sasa...
  12. Keylogger

    Tabia sugu ya watanzania.

    Kali GNU/Linux Rolling 64-bit hii ni moja kati ya distro ya linux ambayo natamani watu mjaribu kutumia ili muone raha au amani ya kutumia opensource technology jamani hilo ni biti tu la kujaribu keyboard yangu kama nzima kwanza nianze kwa kusema kuwa mimi ni mtanzania wa kawaida ambae sina...
  13. Keylogger

    Fedha ya mtaji ninayo ila sina wazo la kufanyia kazi

    Vijana wengi nnaokutana nao na kuongea nao husema "Fedha ya mtaji ninayo ila wazo la biashara sina" au "Sina fedha ya mtaji ndo maana siwezi kujiajiri". Kijana katika makala hii najaribu kujibu maswali hayo na mengine yanayohusiana na kujiajiri uwe na mataji ama huna mtaji. Mimi nita assume uko...
Back
Top Bottom