Tabia sugu ya watanzania.

Keylogger

Member
Oct 13, 2016
13
14
Kali GNU/Linux Rolling 64-bit hii ni moja kati ya distro ya linux ambayo natamani watu mjaribu kutumia ili muone raha au amani ya kutumia opensource technology jamani hilo ni biti tu la kujaribu keyboard yangu kama nzima
kwanza nianze kwa kusema kuwa mimi ni mtanzania wa kawaida ambae sina upande wowote, asilimia kubwa ya watanzania lazima tuwe upande kati ya pande mbili yaani Tanzania maana yake ni pande mbili ndio pande mbili
sasa labda tujiulize hili chanzo chake nini au muungano? maana hili tatizo lilianza baada ya muungano tulivyoungana tu ikatupa option ya pande mbili Tanganyika bara na Tanganyika visiwani hata siasa zetu zimejengwa hivyo
Tukafika sehemu ni lazima kuwe na option mbili kwenye siasa za vyama ilianza CCM na NCCRmageuzi ikaja CCM na CUF sasa CCM na CHADEMA.

Kwenye sanaa pia tumejitengenezea lazima tuwe na option mbili mfano bongo movie tulikua na marehemu Steven kanumba na Ray Kigosi hapo ndo patamu palikua patamu manake bongo movie ilifika mbali sababu ya mpambano ule hata alivyofaliki Steven Kanumba tu ule ushindani na vile vile tukakosa option ya pili tukaachana nao kwenye bongo flava kuna huyu kijana wanamuita Alikiba pia Diamond hahahah...
hapa ndipo utawafurahia watanzania yaani sababu kuna option mbili bas wanafurahi kifupi asilimia kubwa ya watanzania lazima tuwe ni washabiki wa Alikiba au Diamond, duuh eti watu wanabisha sikiliza niwape mfano unakuta mtu ni mwanachama wa CCM lakini anampenda zito kabwe kwa sababu ya msimamo wake yes hivyo hivyo unakuta mtu ni mshabiki wa Dimondo au Alikiba ila atampenda msanii mwingine kutokana na zazi zake sio kua mshabiki ndio msanii atapendwa kwa kazi atayoitoa sio ushabiki Aslay atatamba ndio ila watu wanapenda kazi za Aslay lakini ni mashabiki wa Diamond au Alikiba.

Hata kwenye michezo tuna option mbili Simba na Yanga piga ua garagaza lazima iwe hivyo mtanzania yeyeto lazima awe mshabiki wa simba au yanga alaf ndo umwambie kuna timu nyingine..wacha ubishi wewe na kitambi chako sasa unachobisha nini?? nini?? et Azam, ni kweli Azam inapendwa lakin ukweri ni kwamba hata mashabiki wa Azam lazima wawe ni wa simba au yanga tena Azam wanabahati sababu yenyewe inakusaya mashabiki wote, huyo backhresa mweyewe alikua shabiki mkubwa tu wa timu moja wajo wa ----

Ndio hilo nakubaliana na wewe, pasi na shaka tupo asilimia kama 12, ambao huwa hatuna upande wowote yaani sisi ni watu ambao tunaangalia na kuchuja mambo kwa kifupi tunapenda kujifunza yes watch and lean...
sasa je kua na option mbili ni mbaya au nzuri kwa maendeleo ya taifa letu changa? je huwa mnatumia vigezo gani kupata hizo option?
 
Leo niliamua kunywa tangu SAA 5 mpaka muda huu,

Lengo ni kujisahaulisha maadhi ya mambo binafsi na yanoendelea nchini

Aliyeelewa anandikie kwa ufupi tu
 
Hiki kitu kinanikera kama nini yani siku ukipingana na mawazo ya CCM wanakwambia wewe ni chadema ..
Na siku ukitoa maoni kuipinga chadema wadau wanakushambulia wanakwambia wewe ni wa lumumba..
Yani hawataki kuwaruhusu watu walio neutral watoe mawazo yao freely bila kuwazushia chama cha siasa
 
Back
Top Bottom