Recent content by Isiri

  1. I

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Mheshimiwa Rais hakika anatenda yaliyo mema. Mungu amzidishie hekima na busara katika kuendelea kusafisha hawa wenye kujikweza na kuendesha giliba kwa maisha ya wengine. Nampongeza sana kwa uteuzi mzuri wa mawaziri wapya katika nafasi zao.
  2. I

    Kifo cha CCM kimetimia

    Ndungu watanzania wenzangu nianze kwa kuwapa pole wananchi wenzangu wote waliokumbwa na mauaji na wale ambao ni majeruhi kutokana na uratibu uliofanywa na CCM. Naamini wengi wetu tumeguzwa kwa namna moja au nyingine kwa kuondokewa na ndugu zetu na wale ambao ni majeruhi. Kama mtakumbuka ni hivi...
  3. I

    Je, Zanzibar ni koloni la Tanganyika?

    Hivi nani anahitaji muungano? Sababu tunazitoa za kuwa na muungano hazina msingi eti Wazanzibar na Watanganyika ni ndugu hiyo ndio sababu???? Kwani sisi sio ndugu na nchi majira zetu mbona makabila yako pande zote za nchi jirani hatujawahi kufiria kuungana nao? Eti Tanganyika inahitaji Zanzibar...
  4. I

    Sera za muungano za chama cha CHADEMA hizi hapa

    Kimsingi ninakubaliana na muhtasari wa mawasilisho ya maoni ya vyama hivi viwili vya kisiasa, lakini na tofautiana na hoja ya CUF kuwa usiwepo na uchaguzi wa marudio punde mgombea aliyeshinda uchaguzi anapokuwa amefariki. Kwa kutenguliwa na mahakama ni sahihi aliyekuwa mshindi wa pili atangazwe...
  5. I

    Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    Matola HUU NI USANII YEYE ALITUMWA NA WATAWALA, HAPO WANATUPOTEZEA, KWANI WALIOTUMWA KUMUA IMRANI KOMBE SIPOWAPO MTAANI, CHENGA ZIKIENDELEA, MARA SI MIMI NILIYE TOA MSAMAHA WA KUACHIWA KWAO, SIYE WATANZANIA KWELI NI MAZEZETA, HIYO NI PICHA NYINGINE KAMA ILE YA KOVA NA KICHAA WA MKENYA ALIYE...
  6. I

    Mmoja wa polisi waliouwa afikishwa mahakamani leo

    Habri niliyoipata hivi punde nikiwa mjini Iringa ni kuwa askari mmoja kati ya sita waliokamatwa amefikishwa mahakamani,ni yule aliyefyatua bomu.Wengine watano ambao nao walimpa kipondo marehemu wameachiwa. Hii inatokana na maombi ya mtuhumiwa mwenyewe kuwa yeye ndiye aliyeua na wengine...
  7. I

    Nape: Vipi kuhusu kauli za Mukama huko Igunga?

    Hakika nimekubali Nape ameanzaa kupoteza mwelekeo kisiasa baada ya yeye jana kusisitiza kuwa katibu mkuu wa CHADEMA ahojiwe na vyombo vya usalama kwa taarifa aliyotoa kwa vyombo vya habari kuwa CCM inaingiza silaha kwa ajili ya kudhuru viongozi wa CHADEMA na kwamba uzee unamsumbu kiongozi huyu...
  8. I

    Spika Makinda azuia Bunge kuingilia sakata la Mhando

    Nawasahuri sisiem na Serikali yake kutokana na kuhojiwa sana na CDM Bungeni kwa kuwasilisha bajeti kiini macho ipandikize mtu kwa Sura ya CDM afungue kesi ya bajeti ya Serikali yake ili isijadiliwe Bungeni mwaka upite bila kujadiliwa. Mahakama ndio mbinu mpya iliyobaki ya kuzuia masuala nyeti...
  9. I

    Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

    Hilo la CHADEMA kuhusika halipingiki kabisaa, Kwani meli ilipopata thoruba si ndio hao waliopanda juu ya meli na kuifanya ipinduke na mjue Kova anajiandaa kutuletea picha nyingine ya mwisilaam wa CHADEMA aliyekuwa mmoja waliopanda juu ya meli na kuifanya ipinduke akitubu msikitini. Huku...
  10. I

    Jairo kuburuzwa mahakamani

    Hapo ni picha nyingine inaanza, sasa wanataka kumsafisha na kumlipa mamilioni/bilioni ya shilingi za umma, hii itaishia kama ya Zombe, Vijisenti n.k Wajinga ndio waliwao. Baada ya kusafishwa na mahakama atapewa Ubalozi kama kawaida yetu. Bi Kirobo ameshaifukia suala lenyewe Bungeni, Watanzania...
  11. I

    Niandike maneno gani kwenye bango langu kuelekea Jangwani kesho?

    !!!!! Tumeandika mengi lakini yahusiana na katiba????!!!! Andika kwenye bango lako "katiba mpya iondoe umungu wa rais wa ccm wa kuteua viongozi wa mihimili mingine ya dola na kuondoa mtandao wa kulindana kwa mafisadi, kutowajibika na kutokuwa na utawala wa sheria. Viongozi wa mihimili...
  12. I

    Prof Sospeter Muhongo na ahadi ya megawati 5,000

    "Prof Sospeter Muhongo na ahadi ya megawati 5,000" TRAILER ZA POROJO NDIO ZINAANZA TENA!!??. TAATHIMINI ISHAFANYIKA? NA KAMA IMESHAFANYIKA AMEOINA LINI? KUWA NA RESOURCES NI JAMBO MOJA, NA KUWA NA UWEZO WA MOBILIZE RESOURCES ZENYEWE NI JAMBO LINGINE AMBALO TUMELIKOSA KWA MIAKA HII 50 YA UHURU...
  13. I

    Kesi ya kupinga ubunge Igunga leo

    Wanajamii nafikiri wengi tungependa kujua nini kinachoendelea kwenye kesi iliyofunguliwa na mgombea wa CHADEMA kupia kwa wakili wake Prof. Safari.
  14. I

    Nionavyo mimi: Pinda si mtoto wa mkulima

    huyu ni msanii, wengi ya watanzania wakuzaliwa wenye umri wake ni watoto wa wakulima, hivi utamuelewa mtu anayetoa vibali vya manunuzi ya magari ya serikali, anapiga marufuku ununuzi wa mashangangi kupunguza gharama zisizo za uhumimu, anajipitishia shangingi lake anapokabidhiwa analikataa...
Back
Top Bottom