Je, Zanzibar ni koloni la Tanganyika?

Mkitaka msitake Tanganyika ni wakoloni weusi!!!
Habari ndio hiyoo!!
ZANZIBAR KWANZA SHENGESHA BAADAE!!!!
Ustadhi .... eee uusiseme hivo "hao Wadanganyika watasema mnataka kuolewa na warabu!! hawana hoja wala hawana kigezo fujo lao ni vuruguvurugu ili nanyi muwe kama wao!! huoni matusi na maneno machafu tangu alfajiri hadi jioni? yaani ukidai haki yako tu hapo umeyataka mashuzi yao!
 
Muungano ni CHAKA LA MFUMO KRISTO-Ust Ilunga.
 
aaaaa ha ha ha ha ha. halaf una sura nzuri mwaya. MADE IN ZANZIBAR. akili yako itakuwa inafanana na hili sura lako nazani! Made in Zanzibar hiyo.... kiwanda cha waropokaji; ha ha ha ha.....

avatar14880_3.JPG

Porojo hizi wapelekee wale waabudu Nyerere wenzio, wao ndio walioapa kuulinda Muungano kwa ghrarama zote. Sasa kama unataka kuelewa historia ya TZ, Mungu wako Nyerere ndio alievuka bahari kwenda Zanzibar kuomba Muungano. Vile vile waambie wale wauza ngono waondoke znz .
 
Muungano ni CHAKA LA MFUMO KRISTO-Ust Ilunga.
Vichekesho S.O.B wengi wao ni W-a-s-e-n-g-e afu, wanajitia wamesoma, yaani kisomo chenyewe cha kufadhiliwa...mabakiya ya walofilisika... ati hao walosoma huwadharau wananchi wenzao na kuwakejeli wale wenye itikadi za dini ingine "waisalmu" ... Yaani Nchi ina watu wanamna gani ? kavile kipofu humcheka kiziwi!! Wenzao waliwavumilia wee,Hadi walipo hitimu wakaanza kuwanyanyasa.....Mabara-dhuli.... Hawana uaadilifu wala ukweli kwa jamii.....Bora muchukuwe chenu muondoke zenu muwachiewao na mafisadi zao!! Bon Voyague!! Nikuchekeshe kidogo "angalia musiende kuleta waarabu Eee" mnaweza kuleta Mashelishelli au Wachina lakini mkileta waalabu mtakiona cha mtema kuni" mmesika eee? Okay mkuu Lala salam "ala-Msikii"
 
Mkuu vp kule Loliondo!!!
Hujaskia madaktari waarabu kutoka Misri wanakuja Tanganyika aka Tanzania!!!?
HAMNA UJANJA MTAIMBO UNEGANDAAAAA!!!!!!
 
wewe angalia tu usilete waalabu~~ Ajabu hawa ------- wao macho yao msonge na waalabu...watachungulia tena eee kuna waalabu huko tena watakuja kuaambia Ona msilete waalabu!! Kama vile waarabu wanahaja na mtu , mambo yao wenyewe yanawatosha..... Lakini wao kumwita Bwana wao Obama hakuna noma na kuwaleta wa China poa kabisa na kulala na Bw muzungu kwao ni Starehe poa..!!Lakini wewe musilete waalabu!! S O B.... hawa jamaa sijui muliishinao vipi miakayote hiyo..... pole mkuu ukija bara nitakukaribisha kwa mjemba hapo umsikie anavyo payuka.
 
Tutaendelea kusema mpaka pale mutakapo iyacha zanzibar huru yenye mamlaka kamili,Tanganyika ni mkloni mweusi ambaye anaikalia zanzibar kwa mabavu, tukiacha hiyo historia ulotuekea, umesahau chaguzi ambazo zimekuwa zikiendesha zanzibar toka viazishwe vyama vingi, wewe kama huwamini ikiwa zanzibar sio koloni au koloni njoo siku za uchaguzi mkuu, tunaletewa vifaru na silaha za kila aina, na wanajeshi kutoka bara, kuja kufanya mapinduzi katika chaguzi, ili kuhakikisha ccm inaweka mtu wake ambae wamemteuwa dodoma, mara zote mgombea wa chama cha ccm kutoka zanzibar huwa hachaguliwi na wazanzibari bali anachaguliwa dodoma, umesahau mvutano baina ya Gharib bilal na shein ? Gharib bilal ndio chaguo la wana ccm wazanzibar ambao walipendekeza zanzibar, kupelekwa dodo, kachaguliwa shein.

Ni zahiri ya kwamba tunaendelea kutawaliwa kimabavu, iwe kwa bunduki iwe kwa katiba, angalia leo hi rasimu ya katiba ilivyo kuja na mfumo wa muungano wazanzibar asilimia 66 walipendekea muungano wa mkataba, warioba amependekeza serikali tatu, hebu muangalie warioba historia yake ? Ni mwana nyerere wa 2 huyu.

Tumechoka kutawali tunataka muungano wa mkataba, no more ukoloniiiiiiiii na ukome
JE, ZANZIBAR NI KOLONI LA TANGANYIKA?

Rasimu ya Katiba mpya,sasa iko mikononi mwetu.Hii ni nafasi pekee kwetu Watanzania,kuisoma,kuielewa na kutoa maoni ya ama kuboresha,kuongeza au kupunguza chochote.Lakini sasa ni wajibu wa Mabaraza ya Katiba ya Kata na bunge la Katiba kuhakikisha wanajadili rasimu hiyo kwa kuweka masilahi ya Taifa mbele.

Kuna mapendekezo mengi sana katika rasimu ya katiba mpya.Lakini moja lililonigusa ni suala la Muungano.Tume ya mabadiliko ya Katiba mpya baada ya kupitia maoni ya watanzania imekuja,na mfumo wa serikali tatu,Tanzania bara (Tanganyika),Zanzibar na serikali ya Shirikisho.Kwa maana hiyo,kama mapendekezo hayo yatapitishwa na Mabaraza ya kata ya katiba,Bunge la Katiba na baadae kupigiwa kura na wananchi,ni wazi kwamba ule mfumo wa serikali mbili ambao umetumika kwa miaka 49 utakuwa umefika kikomo.

Mimi ni miongoni mwa watu wanaopinga pendekezo hilo.Sababu nitatoa.Kabla sijatoa sababu za kupinga mfumo wa serikali tatu,ningependa tujikumbushe japo kidogo tulikotoka.Historia ni mwalimu mzuri japo haiwezi kutufanya kuwa watumwa.

Ni miaka takribani 50 tangu nchi nyingi za Afrika zipate uhuru .Kizazi cha kwanza cha viongozi ambacho kilionja chungu ya ukoloni kwa kukamatwa,kupigwa,kuteswa na kuawa kiliona umuhimu wa bara la Afrika kuungana.Juhudi za kuungana kwa bara la Afrika ili kuwa na sauti moja kimataifa ziliongozwa na Kwame Nkrumah (Ghana) na Mwl.Nyerere (Tanzania).Japo miamba hii ya Afrika ilikuwa na maono/mawazo tofauti ya jinsi ya kufikia lengo la kuungana (AFRICAN UNION),lakini lengo lao lilikuwa ni moja,kuona Afrika inaungana na kukabiliana na ukoloni mamboleo (NEO-COLONIALISM),ambao kwa sasa tuungeita ni utandawazi (GLOBALIZATION).

Mwalimu Nyerere alikuwa ilipendekeza,ili kufikia lengo la kuwa na Afrika moja,basi ingekuwa vema kuanza na ushirikiano wa kikanda (REGIONAL INTEGRATION) kama vile EAC.Wakati Dr.Kwame Nkrumah alitaka kuharakisha kuungana kabla ya ukoloni mambo leo hajakita mizizi na kabla ya viongozi wapya wa Afrika huru hawajaona utamu wa madaraka.Mijadala ya wakati huo ilikuwa imegawanyika katika makundi hao,huku viongozi wengi wakipendelea wazo la Mwalimu Nyerere.

Ukisoma vitabu vya Nkrumah hasa AFRICA MUST UNITE (1963) na NEO-COLONIALISM (1965) ungeweza kuona dhamira ya wazi ya Nkrumah na hofu yake kwa ukoloni mambo leo.Viongozi wengi wa Afrika walimpinga na kumchukia Nkrumah huku wengine wakimwiita mroho wa madaraka.Lakini historia imethibitisha kwamba Nkrumah alikuwa ameona mbali sana.Hata katiba ya Ghana huru,ilikuwa na kipengele cha kwamba Ghana ingesalimisha mamlaka yake kwa Serikali ya Muungano wa Afrika endapo ingeundwa.Hata Mwalimu Nyerere akiongea kwenye maadhimisho ya miaka 40 ya uhuru wa Ghana,mwaka 1997 alikiri kuwa wazo la Nkrumal lilikuwa sahihi.

Baadaye tumeendelea na harakati za Pan-Africanism,ambayo mimi ni muumini,ingawaje kwa sasa imebaki jina tu.Mambo muhimu ambayo Pan-Africanism ilitakiwa kusimamia ni pamoja na maendeleo ya Afrika,kuimarisha demokrasia ndani ya bara la Afrika na kupinga ukoloni mambo leo.

Hata Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ilikuwa njia ya kuelekea kwenye umoja wa Afrika,japo kuna maelezo mengi kuhusu chanzo/sababu za Muungano huo,lakini kwa mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kupinga dhana ya kuungana.Kwa wakati ule inawezekana muundo wa Muungano ulikuwa safi.Na hili limewahi kuzungumzwa sana Mwalimu Nyerere.Kwamba isingekuwa rahisi sana kuunda serikali moja kutokana na historia.Wakati Tanganyika ilipoteza mamlaka yake,Zanzibar ikabaki na mambo kadhaa.Kutoka na sababu za kihistoria na udogo wa Zanzibar (geography and demography),ingeonekana kuimeza Zanzibar kwa kuunda serikali moja.

Lakini lengo lilikuwa kuona Zanzibar na Tanganyika zinaelekea kwenye serikali moja hatua kwa hatua.Lakini mambo yaliyoendelea baada ya Muungano kutoka pande zote mbili (Mwalimu Nyerere na Karume),pengine yaliharibu dhana nzima ya Muungano na kuzusha manung’uniko kutoka pande zote mbili,hasa upande wa Zanzibar.Inasemekena Karume,kabla ya kifo chake alikuwa najiandaa kuvunja Muungano kwa kile kilichoitwa Mwalimu Nyerere kukiuka makubaliano ya awali,akitumia sentensi “muungano ni kama koti likukubana unavua”.

Kuna watu wachache wanaamini kwamba Zanzibar ni koloni la Tanganyika,na hili linatokana na namna masuala/hoja za Muungano zilizokuwa zinashughulikiwa.Moja ni namna mambo ya muungano yalivyoongezwa kutoka 11 hadi 22,ambayo tafsiri yake ingekuwa kupoteza Mamlaka ya Zanzibar.Hili lilisababishwa na udhaifu wa Karume ambaye hakujali mambo ya kisheria na ubabe wa Mwalimu Nyerere kwa upande wa pili.

Lakini suala la pili ambalo naliona ni kubwa zaidi ni “kulazimishwa” kujiuzuru aliyekuwa rais wa Zanzibar (1972-1984) Aboud Jumbe,kwa kuhoji mambo ya Muungano.Tafsiri ya suala hili,lingeonyesha kwamba Zanzibar sio nchi huru.Inakuwaje rais wa nchi anaondolewa kwa namna ile,bila hata kuwashirikisha wananchi wa Zanzibar?

Suala la tatu ni namna mijadala ya Muungano ilivyokuwa inashughulikiwa na kuzimwa.Japo hata Tanzania bara (Tanganyika) kulikuwa na mijadala lakini upande wa Zanzibar ilichukua sura nyingine (Nationalism).Waliokuwa wanahoji Muungano walikuwa wanaitwa wahaini.(REJEA KESI YA AKINA MALIM SEIF).Chama cha Wanannchi Cuf ni matokeo ya ubabe wa chama katika kushughulikia mambo ya Muungano.Hata Malim Seif,ambaye mimi namwona msaliti wa Wazanzibar,alionja joto la jiwe.

Kimsingi tukubaliane tu kwamba kulikuwa na makosa kadhaa katika namna ya kushughulikia kero za Muungano.Kutokana na udhaifu huo,ndio umezaa Zanzibar Nationalism,na sasa tunalazimika kuifufua Tanganyika.Wakati unabadilika.Waasisi wa Muungano walifanya kazi yao.Badala ya kuwalaumu,ni vema na sisi kizazi hiki tukatizama namna ya kushirikiana kama njia ya kutimiza wajibu wetu.Hatupaswi kuambiana maneno ya kuudhi,na kutumia neno ukoloni vibaya.Tuangalie historia,tuangalie mahitaji ya wakati huu na wakati ujao.

Suala la serikali tatu halijaanza leo.Tume ya Jaji Nyalali iliyoundwa na Rais Mwinyi mwaka 1992 kuangalia uwezekano wa kuanzisha vyama vingi,ilikuja na mapendekezo ya serikali tatu ikiwa ni njia ya kutatua kero za muungano ambalo hata hivyo halikutekelezwa.Mwaka mmoja baadaye kundi la wabunge lililopachikwa jina la G55 likaja na hoja ya serikali tatu,ambayo kimsingi bunge lilipitisha kabla ya Mwalimu Nyerere hajaizima hoja hiyo.(REJEA KITABU CHA “UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA KILICHOANDIKWA NA MWALIMU NYERERE).

Mwaka 1998,Tume ya Jaji Mstaafu Kisanga iliyoundwa na Rais Mkapa ikaja na pendekezo la kuwa na serikali Tatu.Mambo yakawa yaleyale,pendekezo hilo likatupwa tena kapuni.Wakati ule,kama nilivyosema awali kujadili mambo ya Muungano ilionekana ni uhaini na hivyo kuzalisha manung’uniko mioyoni mwa watu.

Sasa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nayo imekuja na wazo la serikali tatu.Kuna tofauti kubwa sana ,wakati ule na wa sasa.Kwa sasa wananchi wako huru kujadili suala la Muungano,hakuna vitisho.Lakini kwa upande wa Zanzibar hali ni tofauti.Katiba mpya kwao inamaanisha Muungano.Kuna wakati sauti zinasikika kutoka Zanzibar,kwa sasa ni wakati wa Zanzibar kutua mzigo.Japo ni wachache,lakini kuna watu wanaamini kwamba Zanzibar ni koloni la Tanganyika,na kwamba sasa ni wakati wa Zanzibar kupata “uhuru”.Sauti hizi zinatoka kwa viongozi wa chama na serikali,kuliko hata wananchi wa kawaida.

Hivi karibuni nilimsikia Ismail Jussa akiongea na idhaa ya Kiswahili ya DW,na kwamba sasa ni nafasi ya Zanzibar kupata mamlaka kamili,akitaja hasa Benki Kuu,Mambo ya Nje,Uhamiaji na Mambo ya Ndani.Tafsiri yake ni kwamba hapo hakuna Muungano.Huwezi kuwa kwenye Muungano na ukabaki na mamlaka kamili.

Binafsi napenda sana kumsikiliza Ismail Jussa akiongea mambo ya Muungano.Upendo wangu kwa Jussa hautokani na vile anavyojenga hoja,bali jinsi anavyoshindwa kuficha hisia zake na chama chake cha CUF.Kwa kiasi fulani nawafahamu Wazanzibar.Ukikutana na Mzanzibar msomi,utapenda jinsi anavyoongea taratibu,kwa umakini na kujenga hoja,huku akiwa na msimamo usiyoyumba kwenye masuala ya msingi.Sasa najiuliza,huo ndio mwisho wa zama za Zanzibar,kwa kuwa na vijana wanaopiga kelele badala ya kujenga hoja?

Tumeishi na Wazanzibar bila matatizo yoyote.Wazanzibar wengi wana makazi Tanzania bara kama ambavyo watu wa bara wana makazi Zanzibar.Tumeishi kama ndugu.Leo tunaposema Zanzibar ni koloni la Tanganyika,tunamaanisha nini?nini tafsiri yake?Mimi naona huu ni ubinafsi wa viongozi wetu wachache ambao wanataka kuneemeka kwa kuvunjika kwa Muungano.Na dhambi hii itaendelea kututafuna Waafrika.Wakati Mataifa yenye nguvu dunia yanaungana,sisi tunaona kujitenga ndio muhimu.

Bara la Afrika tuko nyuma sana kimaendeleo kuliko vile ninavyoweza kusema,hivyo umoja ndio unaweza kutusaidia kama Nkrumah na Mwalimu walivyoona miaka 50 iliyopita.Umuhimu wa Afrika kuungana leo ni mkubwa zaidi kuliko hata zama za Nkrumah.Sasa tunapojadili suala la Muungano,hebu tuangalie kwa jicho la mbali.

Mimi napinga mfumo wa serikali Tatu na badala yake tuwe na serikali moja tu.Kimantiki mfumo wa serikali tatu,unamaanisha unavunja Muungano.Pili kuendesha serikali Tatu katika hali tuliyonayo,ya uchumi dhaifu,ni kuleta mzigo mkubwa kwa walipa kodi,na utachelewesha maendeleo.Tatu,lengo letu liwe kuelekea kwenye Muungano wa Afrika.Hivyo ni vema tukawa na serikali moja,huku Tanganyika na Zanzibar tukizipa kisogo.

Ni jambo gani la kimaendeleo ambalo lilishindikana wakati wa serikali mbili,na sasa litawezekana kwa kuwa na serikali tatu?Je,kukwama kimaendeleo ya Tanzania,ni kwa sababu ya muundo wa serikali mbili?Wananchi wanachotaka ni maendeleo hata kama tungekuwa na serikali 20.Wananchi wengi wa kawaida hawana shida na Muungano.Tatizo lipo kwenye viongozi wachache ambao wanataka kuanzisha himaya za utawala kwa kuwa na viserikali vingi.Je,Zanzibar haijaendelea kwa sababu ya Muungano?

Ni vema wakati wa kutoa maoni yetu kuhusu Muungano,tutoe hoja na kuwasikiliza wengine.Kupiga kelele,hakuwafanyi watu wengine wakusikilize.Pia,wakati tunatoa hoja/maoni yetu kuhusu aina ya muungano tunaotaka,ni vema tukatumia lugha nzuri na za staha,huku tukiheshimiana.Kutumia maneno kama vile “ukoloni” si vizuri hasa ukiangalia tulivyoishi vizuri,kama ndugu.

IMEANDIKA NA BABA TUSAJIGWE (MUGO)
MAPAMBAZUKO TANZANIA
 
Changamoto za Serikali ya Tanganyika ni hiz.

1. mauaji ya Albino na vikongwe.
2. nani mwenye haki ya kuchinja kati ya waislam na wakristo.
3. Issue ya MoU ya kanisa na Serikali.
4. Malalamiko ya waislam kuhusu BAKWATA, Mahakama ya kadhi, siku ya mapumziko ya kiserikali n.k
5. Gesi kutoka Mtwara.
6. Kujiunga na OIC
7. Mfumo kristo unaondesha Serikali.
8. Husda na fitna za UDINI.

Je mmujipanga vipi kukabiliana nayo. Nafikiri ungepoteza muda wako mwingi kufikiria hayo badala kuifikiria Znz ambayo siku ya pili tu baada ya kupata Mamlaka kamili inajiunga na OIC.

Ondoa boriti katika jicho lako kwanza kabla kuangalia jicho la mwenzako.

Pole sana

Hayo mengine nilishakujibu kwenye ile thread ya JUHA,
Sioni kama utanielewa kama kule hukuelewa so,
Sitayajibu hapa...

Labda jipya ni hilo hapo kwenye RED....
Umenielimisha na nimefurahi sana kujuwa kuwa kumbe
lengo la kudai talaka na kuachana na bwana wa Kiswahili ni
Kuolewa na Muarabu? Makubwa!!!

Umeishiwa hoja,acha kejeli
 
Nimependa sana uchambuzi wako. Lakini kuna hili. Ili uchambuzi huu kuwa na maana, unahitaji watu wanaoweza kuulewa pande zote mbili. Na ninaamini jibu ambalo lingepatikana ni kupata serikali moja ili tuelekeze nguvu zetu zote kwenye kuleta maendeleo kwenye hilo taifa letu moja litalozaliwa kwa kutumia hivi unavyoviorodhesha hapa:
ardhi
watu
siasa safi
uongozi bora

Tatizo ni kwamba je hili la serikali moja litawezekanaje katika mazingira ya ushawishi wa maseperatist kama kina Jusa na Seif?
hayo ndio makosa na hapo kwenye red hawa jamaa wote wanaishi muda wao mrefu huku bara na wana biashara huku huku bara!
 
Mkuu
mwankuga unaposema "ukiangalia tulivyoishi vizuri,kama ndugu" unakuwa mnafiki. Mimi niliwahi kufika Zanzibar wakati fulani. Nilikuta mazuri ya kule kama vile kuelekezwa njia bila kuombwa hela. Lakini hawa watu si ndugu zetu. Kuna askari polisi alifikia mapenzi na binti wa kizenji akazaa naye katoto kazuri ka kike; ila ikatokea kuwa yule askari hakuwa muislamu. walitaka wamkate majambia. huyu askari alikuwa mtu wa kwetu. wenzake walimtoa zenji kwa zengwe moja hivi asirudi kule hadi alipostaafu. bahati pekee yule mpenzi wake afikicha picha yake mahala na siku ya siku alikuja muonesha binti yake sura ya babake na binti huyu akafanya kitu cha ajabu sana katika kumfuata baba yake. ni stori kama movie kabisa wangeijua kina kanumba. Yule binti alimpata babake Kyela. Huku bara tumeachia binti zetu wangapi waolewe na wapemba bila kuwafuata na mikuki?

Jengine ukiwa Zanzibar lazima ufunge wakati wa ramadhani. Hawa watu ni mataliban wakae kivyao na sisi tukae kivyetu!

Sidhani kuniita mnafiki ni sahihi sana,kwa sababu tunatofautiana mtazamo.Mimi ninachojua hata ndugu wa tumbo moja,hutokea mifarakano.Haya mambo yapo,lakini mazuri ni mengi kuliko mabaya.Ukweli unabaki palepale,kwamba Zanzibar ni ndugu zetu.
 
you are right; neno mnafiki lingeweza kuachwa mwishoni tukawa tumekubaliana kuwa upo udugu kati yetu na watu wa Zanzibar. kistori changu chenyewe ni ushahidi wa hilo. asante kujibu bila jazba.
 
La Msingi Wazanzibari hawautaki muungano hata ungeimba mpaka asubuhi....
Sioni kwanini sisi Watanganyika tunawalazimisha.

Ivi tunafaida gani kiuchumi na hata kisiasa kuungana na hawa watu?

Pengine nielimishwe kwani naona hasara zaidi ya faida.
Tunatawala wote Tanzania bara lakini Tanzania visiwani marufuku na hata ukiwaita hivyo hawataki

Ngoja aje Barubaru na kina embe Boribo hapa wakutolee uvivu!!

Let Zanzibar go Let Uamsho go, tunaitaka TANGANYIKA YETU tuliyopewa na Mungu!

Si kweli kwamba sisi Watanganyika tunalazimisha muungano na wengi tunauchukia kutokana na matusi tunayoporomoshewa na wazenji huku nasi tukiwa tunazidi kuduwazwa na umaskini kila kukicha na kupotezwa kabisa na adui kwa kulumbana kwa mambo yaliyo wazi kabisa kama hili la muungano tukiwa tumesahau agenda muhimu ya kwa nini tumefika katika hali hii ya umaskini!Ni rahisi kuwahamisha watanzania kutoka kwenye agenda muhimu kwa naisha yao kama kumsukuma mlevi!Mara m.23,mara Malawi,mara FDRL,mara Kagame na mengine mengi!Ngoja aje Bush tutasikia mengi!Maskini Kizazi cha masalia ya watwana!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hivi nani anahitaji muungano? Sababu tunazitoa za kuwa na muungano hazina msingi eti Wazanzibar na Watanganyika ni ndugu hiyo ndio sababu???? Kwani sisi sio ndugu na nchi majira zetu mbona makabila yako pande zote za nchi jirani hatujawahi kufiria kuungana nao? Eti Tanganyika inahitaji Zanzibar kwa sababu za kiusalama kwani tupo karibu nao. Hii nayo nayo ni sababu? mbona tumepakana na nchi nyingi wala si kwa ukanda wa maji ila nchi kavu hatufikiria kuungana nao? Sababu ya uoga usiokuwa na msingi. Tuwaachia Wazanzibar wabaki na nchi yao tukutane kwenye Jumuiya za kikanda za kiuchumi itakuwa vyema zaidi. Pia itawapa fursa zaidi ya kuanza kufikiria na kujiandaa na mabadiliko ya kimazingira (climate change) ambayo yanaonyesha baadhi ya Visiwa vitafunikwa na maji ikiwemo Zanzibar kutokana kuyeyuka kwa barafu na kuongeza kwa maji baharini. Hata hivyo katiba itamke wazi nchi ya Tanganyika badala ya kuita Tanzania bara wakati hakuna Tanzania visiwani ila kuna Zanzibar. Tusipende kupindishapisha vitu vilivyo wazi. Kama huyu ni nguruwe sema huyu ni nguruwe kuna nini tunachoogopa Watanganyika/Tume. Hata mtoto wachekechea hilo analiona.

]JE, ZANZIBAR NI KOLONI LA TANGANYIKA?

Rasimu ya Katiba mpya,sasa iko mikononi mwetu.Hii ni nafasi pekee kwetu Watanzania,kuisoma,kuielewa na kutoa maoni ya ama kuboresha,kuongeza au kupunguza chochote.Lakini sasa ni wajibu wa Mabaraza ya Katiba ya Kata na bunge la Katiba kuhakikisha wanajadili rasimu hiyo kwa kuweka masilahi ya Taifa mbele.

Kuna mapendekezo mengi sana katika rasimu ya katiba mpya.Lakini moja lililonigusa ni suala la Muungano.Tume ya mabadiliko ya Katiba mpya baada ya kupitia maoni ya watanzania imekuja,na mfumo wa serikali tatu,Tanzania bara (Tanganyika),Zanzibar na serikali ya Shirikisho.Kwa maana hiyo,kama mapendekezo hayo yatapitishwa na Mabaraza ya kata ya katiba,Bunge la Katiba na baadae kupigiwa kura na wananchi,ni wazi kwamba ule mfumo wa serikali mbili ambao umetumika kwa miaka 49 utakuwa umefika kikomo.

Mimi ni miongoni mwa watu wanaopinga pendekezo hilo.Sababu nitatoa.Kabla sijatoa sababu za kupinga mfumo wa serikali tatu,ningependa tujikumbushe japo kidogo tulikotoka.Historia ni mwalimu mzuri japo haiwezi kutufanya kuwa watumwa.

Ni miaka takribani 50 tangu nchi nyingi za Afrika zipate uhuru .Kizazi cha kwanza cha viongozi ambacho kilionja chungu ya ukoloni kwa kukamatwa,kupigwa,kuteswa na kuawa kiliona umuhimu wa bara la Afrika kuungana.Juhudi za kuungana kwa bara la Afrika ili kuwa na sauti moja kimataifa ziliongozwa na Kwame Nkrumah (Ghana) na Mwl.Nyerere (Tanzania).Japo miamba hii ya Afrika ilikuwa na maono/mawazo tofauti ya jinsi ya kufikia lengo la kuungana (AFRICAN UNION),lakini lengo lao lilikuwa ni moja,kuona Afrika inaungana na kukabiliana na ukoloni mamboleo (NEO-COLONIALISM),ambao kwa sasa tuungeita ni utandawazi (GLOBALIZATION).

Mwalimu Nyerere alikuwa ilipendekeza,ili kufikia lengo la kuwa na Afrika moja,basi ingekuwa vema kuanza na ushirikiano wa kikanda (REGIONAL INTEGRATION) kama vile EAC.Wakati Dr.Kwame Nkrumah alitaka kuharakisha kuungana kabla ya ukoloni mambo leo hajakita mizizi na kabla ya viongozi wapya wa Afrika huru hawajaona utamu wa madaraka.Mijadala ya wakati huo ilikuwa imegawanyika katika makundi hao,huku viongozi wengi wakipendelea wazo la Mwalimu Nyerere.

Ukisoma vitabu vya Nkrumah hasa AFRICA MUST UNITE (1963) na NEO-COLONIALISM (1965) ungeweza kuona dhamira ya wazi ya Nkrumah na hofu yake kwa ukoloni mambo leo.Viongozi wengi wa Afrika walimpinga na kumchukia Nkrumah huku wengine wakimwiita mroho wa madaraka.Lakini historia imethibitisha kwamba Nkrumah alikuwa ameona mbali sana.Hata katiba ya Ghana huru,ilikuwa na kipengele cha kwamba Ghana ingesalimisha mamlaka yake kwa Serikali ya Muungano wa Afrika endapo ingeundwa.Hata Mwalimu Nyerere akiongea kwenye maadhimisho ya miaka 40 ya uhuru wa Ghana,mwaka 1997 alikiri kuwa wazo la Nkrumal lilikuwa sahihi.

Baadaye tumeendelea na harakati za Pan-Africanism,ambayo mimi ni muumini,ingawaje kwa sasa imebaki jina tu.Mambo muhimu ambayo Pan-Africanism ilitakiwa kusimamia ni pamoja na maendeleo ya Afrika,kuimarisha demokrasia ndani ya bara la Afrika na kupinga ukoloni mambo leo.

Hata Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ilikuwa njia ya kuelekea kwenye umoja wa Afrika,japo kuna maelezo mengi kuhusu chanzo/sababu za Muungano huo,lakini kwa mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kupinga dhana ya kuungana.Kwa wakati ule inawezekana muundo wa Muungano ulikuwa safi.Na hili limewahi kuzungumzwa sana Mwalimu Nyerere.Kwamba isingekuwa rahisi sana kuunda serikali moja kutokana na historia.Wakati Tanganyika ilipoteza mamlaka yake,Zanzibar ikabaki na mambo kadhaa.Kutoka na sababu za kihistoria na udogo wa Zanzibar (geography and demography),ingeonekana kuimeza Zanzibar kwa kuunda serikali moja.

Lakini lengo lilikuwa kuona Zanzibar na Tanganyika zinaelekea kwenye serikali moja hatua kwa hatua.Lakini mambo yaliyoendelea baada ya Muungano kutoka pande zote mbili (Mwalimu Nyerere na Karume),pengine yaliharibu dhana nzima ya Muungano na kuzusha manung’uniko kutoka pande zote mbili,hasa upande wa Zanzibar.Inasemekena Karume,kabla ya kifo chake alikuwa najiandaa kuvunja Muungano kwa kile kilichoitwa Mwalimu Nyerere kukiuka makubaliano ya awali,akitumia sentensi “muungano ni kama koti likukubana unavua”.

Kuna watu wachache wanaamini kwamba Zanzibar ni koloni la Tanganyika,na hili linatokana na namna masuala/hoja za Muungano zilizokuwa zinashughulikiwa.Moja ni namna mambo ya muungano yalivyoongezwa kutoka 11 hadi 22,ambayo tafsiri yake ingekuwa kupoteza Mamlaka ya Zanzibar.Hili lilisababishwa na udhaifu wa Karume ambaye hakujali mambo ya kisheria na ubabe wa Mwalimu Nyerere kwa upande wa pili.

Lakini suala la pili ambalo naliona ni kubwa zaidi ni “kulazimishwa” kujiuzuru aliyekuwa rais wa Zanzibar (1972-1984) Aboud Jumbe,kwa kuhoji mambo ya Muungano.Tafsiri ya suala hili,lingeonyesha kwamba Zanzibar sio nchi huru.Inakuwaje rais wa nchi anaondolewa kwa namna ile,bila hata kuwashirikisha wananchi wa Zanzibar?

Suala la tatu ni namna mijadala ya Muungano ilivyokuwa inashughulikiwa na kuzimwa.Japo hata Tanzania bara (Tanganyika) kulikuwa na mijadala lakini upande wa Zanzibar ilichukua sura nyingine (Nationalism).Waliokuwa wanahoji Muungano walikuwa wanaitwa wahaini.(REJEA KESI YA AKINA MALIM SEIF).Chama cha Wanannchi Cuf ni matokeo ya ubabe wa chama katika kushughulikia mambo ya Muungano.Hata Malim Seif,ambaye mimi namwona msaliti wa Wazanzibar,alionja joto la jiwe.

Kimsingi tukubaliane tu kwamba kulikuwa na makosa kadhaa katika namna ya kushughulikia kero za Muungano.Kutokana na udhaifu huo,ndio umezaa Zanzibar Nationalism,na sasa tunalazimika kuifufua Tanganyika.Wakati unabadilika.Waasisi wa Muungano walifanya kazi yao.Badala ya kuwalaumu,ni vema na sisi kizazi hiki tukatizama namna ya kushirikiana kama njia ya kutimiza wajibu wetu.Hatupaswi kuambiana maneno ya kuudhi,na kutumia neno ukoloni vibaya.Tuangalie historia,tuangalie mahitaji ya wakati huu na wakati ujao.

Suala la serikali tatu halijaanza leo.Tume ya Jaji Nyalali iliyoundwa na Rais Mwinyi mwaka 1992 kuangalia uwezekano wa kuanzisha vyama vingi,ilikuja na mapendekezo ya serikali tatu ikiwa ni njia ya kutatua kero za muungano ambalo hata hivyo halikutekelezwa.Mwaka mmoja baadaye kundi la wabunge lililopachikwa jina la G55 likaja na hoja ya serikali tatu,ambayo kimsingi bunge lilipitisha kabla ya Mwalimu Nyerere hajaizima hoja hiyo.(REJEA KITABU CHA “UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA KILICHOANDIKWA NA MWALIMU NYERERE).

Mwaka 1998,Tume ya Jaji Mstaafu Kisanga iliyoundwa na Rais Mkapa ikaja na pendekezo la kuwa na serikali Tatu.Mambo yakawa yaleyale,pendekezo hilo likatupwa tena kapuni.Wakati ule,kama nilivyosema awali kujadili mambo ya Muungano ilionekana ni uhaini na hivyo kuzalisha manung’uniko mioyoni mwa watu.

Sasa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nayo imekuja na wazo la serikali tatu.Kuna tofauti kubwa sana ,wakati ule na wa sasa.Kwa sasa wananchi wako huru kujadili suala la Muungano,hakuna vitisho.Lakini kwa upande wa Zanzibar hali ni tofauti.Katiba mpya kwao inamaanisha Muungano.Kuna wakati sauti zinasikika kutoka Zanzibar,kwa sasa ni wakati wa Zanzibar kutua mzigo.Japo ni wachache,lakini kuna watu wanaamini kwamba Zanzibar ni koloni la Tanganyika,na kwamba sasa ni wakati wa Zanzibar kupata “uhuru”.Sauti hizi zinatoka kwa viongozi wa chama na serikali,kuliko hata wananchi wa kawaida.

Hivi karibuni nilimsikia Ismail Jussa akiongea na idhaa ya Kiswahili ya DW,na kwamba sasa ni nafasi ya Zanzibar kupata mamlaka kamili,akitaja hasa Benki Kuu,Mambo ya Nje,Uhamiaji na Mambo ya Ndani.Tafsiri yake ni kwamba hapo hakuna Muungano.Huwezi kuwa kwenye Muungano na ukabaki na mamlaka kamili.

Binafsi napenda sana kumsikiliza Ismail Jussa akiongea mambo ya Muungano.Upendo wangu kwa Jussa hautokani na vile anavyojenga hoja,bali jinsi anavyoshindwa kuficha hisia zake na chama chake cha CUF.Kwa kiasi fulani nawafahamu Wazanzibar.Ukikutana na Mzanzibar msomi,utapenda jinsi anavyoongea taratibu,kwa umakini na kujenga hoja,huku akiwa na msimamo usiyoyumba kwenye masuala ya msingi.Sasa najiuliza,huo ndio mwisho wa zama za Zanzibar,kwa kuwa na vijana wanaopiga kelele badala ya kujenga hoja?

Tumeishi na Wazanzibar bila matatizo yoyote.Wazanzibar wengi wana makazi Tanzania bara kama ambavyo watu wa bara wana makazi Zanzibar.Tumeishi kama ndugu.Leo tunaposema Zanzibar ni koloni la Tanganyika,tunamaanisha nini?nini tafsiri yake?Mimi naona huu ni ubinafsi wa viongozi wetu wachache ambao wanataka kuneemeka kwa kuvunjika kwa Muungano.Na dhambi hii itaendelea kututafuna Waafrika.Wakati Mataifa yenye nguvu dunia yanaungana,sisi tunaona kujitenga ndio muhimu.

Bara la Afrika tuko nyuma sana kimaendeleo kuliko vile ninavyoweza kusema,hivyo umoja ndio unaweza kutusaidia kama Nkrumah na Mwalimu walivyoona miaka 50 iliyopita.Umuhimu wa Afrika kuungana leo ni mkubwa zaidi kuliko hata zama za Nkrumah.Sasa tunapojadili suala la Muungano,hebu tuangalie kwa jicho la mbali.

Mimi napinga mfumo wa serikali Tatu na badala yake tuwe na serikali moja tu.Kimantiki mfumo wa serikali tatu,unamaanisha unavunja Muungano.Pili kuendesha serikali Tatu katika hali tuliyonayo,ya uchumi dhaifu,ni kuleta mzigo mkubwa kwa walipa kodi,na utachelewesha maendeleo.Tatu,lengo letu liwe kuelekea kwenye Muungano wa Afrika.Hivyo ni vema tukawa na serikali moja,huku Tanganyika na Zanzibar tukizipa kisogo.

Ni jambo gani la kimaendeleo ambalo lilishindikana wakati wa serikali mbili,na sasa litawezekana kwa kuwa na serikali tatu?Je,kukwama kimaendeleo ya Tanzania,ni kwa sababu ya muundo wa serikali mbili?Wananchi wanachotaka ni maendeleo hata kama tungekuwa na serikali 20.Wananchi wengi wa kawaida hawana shida na Muungano.Tatizo lipo kwenye viongozi wachache ambao wanataka kuanzisha himaya za utawala kwa kuwa na viserikali vingi.Je,Zanzibar haijaendelea kwa sababu ya Muungano?

Ni vema wakati wa kutoa maoni yetu kuhusu Muungano,tutoe hoja na kuwasikiliza wengine.Kupiga kelele,hakuwafanyi watu wengine wakusikilize.Pia,wakati tunatoa hoja/maoni yetu kuhusu aina ya muungano tunaotaka,ni vema tukatumia lugha nzuri na za staha,huku tukiheshimiana.Kutumia maneno kama vile “ukoloni” si vizuri hasa ukiangalia tulivyoishi vizuri,kama ndugu.

IMEANDIKA NA BABA TUSAJIGWE (MUGO)
MAPAMBAZUKO TANZANIA[/QUOTE]
 
Mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi (CCM), Ali Mohamed Shein ametangazwa leo trh 21 Machi kuwa mshindi wa kiti cha urais cha Zanzibar katika uchaguzi ambao ulikuwa na ushindani mkali, usiofata sheria za Uchaguzi bila ya kuwa na waangalizi kutoka nje katika historia ya Zanzibar.

Dk. Shein amepigiwa kura 299,982 sawa na asilimia 91.4 akifuatiwa na mpinzani wake mkuu na mwanasiasa machachari, Hamad Rashid Mohamed wa ADC aliyepata kura 9,734 sawa na asilimia 3.0.

MY TAKE;
Haya ni maajabu ya dunia, sijui tuyape namba ngapi! Yani kura upige mwenyewe, uzihesabu mwenyewe, ujitangaze mwenyewe na kisha unataka tushangilie wote.

Hata hivyo hatuna budi kutoa pongezi na hongera kwa CCM, Dk. Shein, Mazombi wote, watekaji wote na wale wote wanaowashikilia kina Mansour gerezani! Mungu atawalipa sawa sawa na kwa kipimo kile kile lakini kubwa kuliko yote, watanzania na hata wazanzibari wanakomazwa na wanafundishwa kuwachukia kutoka mioyoni mwao, madhara yake huonekana baada ya muda, ni kama HIV na UKIMWI.

Dunia inatushangaa!.

Original Posted: J.S.MTATIRO
Edited by: ME
 
Attachments

  • zanzibar.jpg
    zanzibar.jpg
    33.2 KB · Views: 32
Back
Top Bottom