Two possibilities: he will either change the system or the system will change him. Waliotangulia mfumo uliwabadilisha, ngoja tumsubiri na yeye
Total hydroelectric potential Tanzania 4,6 GW = 4600 MW. With all due respect Muheshimiwa labda atueleze jinsi he intends to generate five thao megawatts.
Kuzalisha wanaweza kudizalisha ila hapa tatizo ni kuzisafirisha na kuzisambaza. Hii issue ilishazungumziwa wakati walipodai kuwa China imetoa billion kwa ajili ya kuzaliza umeme. Inasemekana njia za sasa za kusambaza umeme hazina uwezo wa kusambaza kiasi kikubwa kama hicho cha umeme. Kujenga njia za usambazaji inachukua miaka kibao. Either itabidi waongeze uwezo (upgrade) wa zile grid zetu za sasa au wajenge mpya. Wote tunajua hilo zoezi huwa linachukua miaka mingapi kutokana na experience zetu za ujenzi wa zile grid za zamani. Nafikiri ni swa na kujenga barabara mpya. Sasa sijui kama muheshimiwa anaongea tu au kisha fanyia kazi yote mawili (uzalishaji na usambazaji).
Nadhani wengi tunashangaa sababu tumezoea kuona insignificant levels of development tu.Kwa mtu ambaye ameamua kupunguza siasa na kuweka utendaji mbele,megawatts 5000 ni achievable target ingawa inaweza kuchukua muda kidogo.
Asilimia karibu 80% ya umeme wa china unatokana na makaa ya mawe..tuna hazina kubwa sana ya makaa kule kiwira na kwingineko,ambako hata coal power engineers wa kichina wameshafanya feasibility study ikaonekana reserve ya coal ni kubwa kiasi tunaweza kuuza umeme mwingi sana huko malawi na zambia,achilia mbali kusambaza mikoa ya karibu na mbeya..tatizo letu watanzania tumeweka ushabiki wa siasa mbele kiasi hatitazami facts tena..
Hii hapa chini ni excerpts kutoka gazeti la Mwananchi la leo likinukuu a very bold pledge kutoka kwa waziri mpya wa nishati na madini, prof sospeter muhongo.
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alisema umeme ni kipaumbele muhimu kwake akisema sasa anashangaa kwa nini nchi haina megawati 1,500 za uhakika.
Alisema atahakikisha Watanzania wanapata umeme wa uhakika na kujitahidi kuwa na megawati zipatazo 5,000ambazo zitasaidia kukuza uchumi na kupunguza makali ya umeme kwa wananchi.
my take:
sote twajua kwamba there has been a lot of hype kuhusu uwezo wa prof muhongo. hii imepelekea watu wengi kuwa na expectations kubwa baada ya yeye kuchukua portfolio hii muhimu sana kiuchumi.
my only (and biggest) concern ni hili la yeye kutoa pledge ya 5,000 MW. this is massive, isn't it?
is this one of those unfortunate political outbursts or the guy really knows what's talking about? does he realise the odds stacked up against him and has therefore factored them into this massive pledge?
if it's a political outburst, then this extensively hyped professor has shot himself on the foot even before climbing an inch up his political career ladder!

hivi hapa hoja yako ni nini?! Kwamba prof SM hana uwezo wa ku-deliver?! Au kuwa hapa Tanzania hakuna vyanzo vya nishati vinavyoweza kuzalisha MW5000. Umejuaje kama Prof binafsi hawezi?, vyanzo havipo?, mimi nadhani inahitaji akiri kidogo tu kuona kuwa vyanzo vya nishati vipo hata vya kuzalisha MW10000: tazama; makambako na singida pametajwa kuwa ni sehemu zenye upepo wingi zaidi kuliko sehemu nyingine yoyote katika afric south of sahara, Tanzania ina umbali mrefu zaidi wa bahari kuliko nchi zote za east africa, do you mind generating power from the sea?, vipi uwepo wa gesi na makaa ya mawe!, maporomoko je?. Najua utarudi kunijuza kwanini unafikiri ahadi ya prof haitekelezeki ama sivyo nitasema unachuki binafsi na prof.