Kesi ya kupinga ubunge Igunga leo

Yule msomali aliyetinga kwenye kampeni na bastola hayumo kwenye ushahidi?
 
Hivi wakati wa kampeni s kunakuwa na waandishi na huwa wanarecord yote yanayozungumzwa, kama ni hivyo kwanini kuita mashahidi wote hao ili hali unaweza kupeleka CD zote mahakamani zikasikilizwa badala ya mashahidi!
 
Tuhuma ni nyingi sana, kuna ununuzi wa shahada ulidhibitishwa na ushahidi upo, uchakachuaji wa Daftari la wapiga kura ushahidi upo kwani kuna baadhi waliorodheshwa kwamba wameishafariki huku waliwa bado hai na ni kwa nini ni wanachama wa CDM pekee ndio walisingiziwa kuwa wamekufa? pia hadi sasa daftari la awali la wapiga kura limepotea wahusika wanajitahidi kutafuta halijapatikana. DC kuingilia mikutano ya Kampeni ya CDM.
 
Kwa mfumo wa uchaguzi wa 'ki-ccm', kesi za namna hii hazitakaa kuisha.
Kuna hila, gilba na dhuruma nyingi sana zinafanyika wakati wa uchaguzi. Haya mambo yangetakiwa kushughulikiwa outright before uchaguzi na mgombea anakua disqualified. Lkn tatizo vyombo vya kuyashughulikia haya, e.g. Tume ya uchaguzi, PCCB, msimamizi wa uchaguzi au msajili wa vyama vya siasa, wote hawa wameweka mbele 'u-ccm'. Yani ni matatizo tu.

Wangelitimiza kazi zao kwa mujibu wa sheria taifa lingeepuka kupoteza pesa kwa kurudia chaguzi hizi ndogo, bado tunasafari ndefu kuitafuta haki katika nchi yetu, ila mwanzo wa safari ni hatua.
 
Ushahidi huu hapa. Yaani Igunga kwa kweli Kafumu una bahati mbaya sana.

Tuhuma ni nyingi sana, kuna ununuzi wa shahada ulidhibitishwa na ushahidi upo, uchakachuaji wa Daftari la wapiga kura ushahidi upo kwani kuna baadhi waliorodheshwa kwamba wameishafariki huku waliwa bado hai na ni kwa nini ni wanachama wa CDM pekee ndio walisingiziwa kuwa wamekufa? pia hadi sasa daftari la awali la wapiga kura limepotea wahusika wanajitahidi kutafuta halijapatikana. DC kuingilia mikutano ya Kampeni ya CDM.
 
Last edited by a moderator:
Mkapa lazima aje apandishwe kama shahidi maana aligawa wali....

MAANDALIZI_YA_CHAKULA+%25281%2  529.JPG
 
Last edited by a moderator:
Nape alishangilia ushindi,na alisema wameshinda kihalali.Kweli hii Serikali yetu kwa maigizo haijambo
 
Mie ntalia na huyu MARTIN SHIGELLA.

Huyu jamaa lazima na yeye aletwe kama shahidi kwenye hii kesi na hasa ukichukulia unyanyasaji na mauwaji ya Nzega, alitajswa sana huyu jamaa.

Pia kuna yule walimwagia ACID (tindikali) lazima na yeye aje kama shahidi. Lazima wamalizie na yule kijana aliyekuwa akipata mafunzo ya kupiga watu huko Singida na baadaye kuhamia Chadema. Huyu lazima na yeye aje na awataje wote waliohusika huko kwenye mafunzo.

Last edited by a moderator:
Wanajamii nafikiri wengi tungependa kujua nini kinachoendelea kwenye kesi iliyofunguliwa na mgombea wa CHADEMA kupia kwa wakili wake Prof. Safari.
 
Wanajamii nafikiri wengi tungependa kujua nini kinachoendelea kwenye kesi iliyofunguliwa na mgombea wa CHADEMA kupia kwa wakili wake Prof. Safari.

Tafuta gazeti la Nipashe leo limeripoti
 
Kesi hii bado inaendelea.leo asubuhi nimemwona huyo mgombea wa chadema,prof safari na mahakimu wengi tu pamoja na wasindikizaji wengine hapa mahakama ya nzega ambapo ndio kesi inasikilizwa.nimejaribu kwenda kusikiliza bahati mbaya nikatingwa na shughuli lakini kwa mbali hapa naona kesi bado inaendelea kwani ofisi yetu iko karibu na mahakama hapa kiasi kwamba naweza kuona kupitia dirisha la mahakama hiyo. Iwl update when iget close to th place.
 
Back
Top Bottom