Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

Upuuuzi sana huu..

Mtu akiwa mkweli anakuwa-fired? Real ?

Yaani ningekuwa wa kike leo nahisi ningepata bleed..
 
4ec8b8c0b147ec5d37acc30ea265efc8.jpg
 
Hili lilitegemewa .Nape alifanya jambo la ovyo kupita maelezo.Tumeyaeleza yote haya Jana.Mliishia kutukana Jerry Muro aliwaambia kwa usatadi na Kitaaluma mkamdharau.Kiko wapi Sasa ?
Watanzania tumejaa sana ushabiki, alizidisha mihemko jana kwamba yeye ndio mmiliki wa vyombo vya habari.
 
Nape atapata maumivu makali sana. Yani jitu umelipigia debe hadi ukaamua kupiga bao la mkono ila leo jitu lilelile ulilolipigania na kuweka rehani utu wako linakuona hufai. Hovyo kabisa.
 
Unaijua siasa, Nape alikua anapambana na lowasa sababu ya Membe, ampe Jimbo, baada ya Membe kukosa, unazani Nape ulimuona anazunguka na Magufuli.. Nape alibaki Mtama, baada mitandao ya kijamii kuhoji Nape yupo wapi, ndio akaibukia Iringa.. Maisha ya siasa ya Nape yameishia hapo

na ndio maana nikasema ndiye alieweza kupambana na lowasa 2015
 
Mheshimiwa Rais hakika anatenda yaliyo mema. Mungu amzidishie hekima na busara katika kuendelea kusafisha hawa wenye kujikweza na kuendesha giliba kwa maisha ya wengine. Nampongeza sana kwa uteuzi mzuri wa mawaziri wapya katika nafasi zao.
 
Back
Top Bottom