Recent content by Calvina Calvinah

  1. Calvina Calvinah

    Mpangaji sema unataka kupanga wapi mwenye nyumba akujibu mmalizane bila udalali

    Mnahamisha kwa bei gani ikiwa umbali sio mkubwa!?
  2. Calvina Calvinah

    App ya kupakua action Movies

    Application gani nzuri kwa ku download Movies za Action
  3. Calvina Calvinah

    Naomba kujuzwa bei ya mahindi Dar

    Anayejua chimbo la Mahindi mazuri kwa Dar es Salaam jamani atujuze na bei yake
  4. Calvina Calvinah

    Naomba kujuzwa bei ya mahindi Dar

    Bei ya Michele huko kwenu ipoje?
  5. Calvina Calvinah

    House4Rent Nyumba inapangishwa Gongo la Mboto

    Chumba kipo Gongo la Mboto Maeneo ya Kaburi Moja Mwisho wa Lami. Kina choo ndani,kioo ndani ya geti , kina madirisha ya vioo,tailiz, feni ya juu na usalama upo wa kutosha. Anayetaka aje nimpeleke bure na akikipenda atanirudishia kodi yangu yeye andelee kukaa. KODI NI ELFU 80 kwa mwezi hakuna...
  6. Calvina Calvinah

    Mpangaji sema unataka kupanga wapi mwenye nyumba akujibu mmalizane bila udalali

    Chumba kipo Gongo la Mboto Maeneo ya Kaburi Moja Mwisho wa Lami. Kina choo ndani,kioo ndani ya geti , kina madirisha ya vioo,tailiz, feni ya juu na usalama upo wa kutosha. Anayetaka aje nimpeleke bure na akikipenda atanirudishia kodi yangu yeye andelee kukaa. KODI NI ELFU 80 kwa mwezi hakuna...
  7. Calvina Calvinah

  8. Calvina Calvinah

  9. Calvina Calvinah

    Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

    Haiwezekani kwenye umepata msiba ukasikiliza Nyimbo za amapiano utaishia kuchanganyikiwa
  10. Calvina Calvinah

    Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

    Unasikiliza nyimbo kutokana na hali uliyonayo kwa mda husika.Huwezi kusikiliza Wimbo wa furaha wakati wa huzuni.
  11. Calvina Calvinah

    Hivi kuna movie yeyote tamu na kali inayoizidi Apocalypto?

    Aliyetengeneza hiyo movie anasanamu lake mbinguni yaani ni bonge moja la idea
  12. Calvina Calvinah

    Mapishi ya makange ya kuku

    Anayejua kutengeneza makange ya kuku tafadhali anipe maelekezo
Back
Top Bottom