House4Rent Nyumba inapangishwa Gongo la Mboto

May 5, 2021
15
29
Chumba kipo Gongo la Mboto Maeneo ya Kaburi Moja Mwisho wa Lami. Kina choo ndani,kioo ndani ya geti , kina madirisha ya vioo,tailiz, feni ya juu na usalama upo wa kutosha.

Anayetaka aje nimpeleke bure na akikipenda atanirudishia kodi yangu yeye andelee kukaa. KODI NI ELFU 80 kwa mwezi hakuna udalali chumba ni changu nataka kuhama.

IMG_8350.jpg

IMG_8351.jpg

IMG_8349.jpg

IMG_8346.jpg

IMG_8347.jpg

IMG_8352.jpg
 
Back
Top Bottom