Mpangaji sema unataka kupanga wapi mwenye nyumba akujibu mmalizane bila udalali

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
576
1,629
Kwema Wakuu,

Mambo yasiwe mengi, changamoto za kutafuta nyumba na kukutana na madalali tunazijua, hivyo kama wewe ni mpangaji unatafuta nyumba au mwenye nyumba unatafuta mpangaji, njoo hapa sema hitaji lako na wenye uhitaji kupata anachohitaji.

Mpangaji
Aina ya nyumba: Appartment / stand alone
Idadi ya vyumba: 2, jiko na sebule
Eneo: Dar, Sinza
Mwenye nyumba
Aina unayopangisha: Appartment / Stand alone
Idadi ya vyumba: 2, jiko na sebule
Eneo: Dar Sinza

NB: Usiweke namba ya simu, wala picha ya sura yako, ukiona kinachoendana na mahitaji yako mtafute muhusika upate sehemu ya kukaa
 
Apartment iko mabwepande chumba kimoja, sitting room, jiko na Choo.

Ina tiles, gypsum na rangi safi kabisa.
 
Nahitaji nyumba vyumba viwili kimoja self, public toilet jiko na lounge eneo kuanzia gongo la mboto hadi chanika
 
Chumba kipo Gongo la Mboto Maeneo ya Kaburi Moja Mwisho wa Lami. Kina choo ndani,kioo ndani ya geti , kina madirisha ya vioo,tailiz, feni ya juu na usalama upo wa kutosha. Anayetaka aje nimpeleke bure na akikipenda atanirudishia kodi yangu yeye andelee kukaa. KODI NI ELFU 80 kwa mwezi hakuna udalali chumba ni changu nataka kuhama.
IMG_8350.jpg

IMG_8351.jpg

IMG_8346.jpg

IMG_8349.jpg
 
Chumba kimoja kikali mombasa ukonga majumba sita banan

Back
Top Bottom