Hivi kuna movie yeyote tamu na kali inayoizidi Apocalypto?

Almaarufu kama Jagwuar Po
Kwakua Mimi ni mpenzi wa Action Movie, Hasa zile za Mkono na Siraha nyepesi kama visu na Upango. Basi huu uzi na ubarikiwe ukatuletee Movie nyingi za aina hii.
Nachukia Movie za Mapenz, Mabomu/Mabunduki na Technolojia za kiss*nge kama Maroboti nk.
Mkuu, mimi na wewe tunakaa meza moja.

Huwa nawashangaa watu wanaopenda movies ambazo ziko too much modified, yaan teknolojia imechukua nafasi 90% mpaka unashindwa kupata hisia za uhalisia wa tukio.

Utamu wa Movie ikudanganye matukio kama yanatokea kweli vile, sio movies imejaa maroboti makubwa kama maghorofa
 
Mkuu, mimi na wewe tunakaa meza moja.

Huwa nawashangaa watu wanaopenda movies ambazo ziko too much modified, yaan teknolojia imechukua nafasi 90% mpaka unashindwa kupata hisia za uhalisia wa tukio.

Utamu wa Movie ikudanganye matukio kama yanatokea kweli vile, sio movies imejaa maroboti makubwa kama maghorofa
Kabisa mkuu me napenda vitu vya moto ila vya kweli kias flan hata ukiumagin unaona vinawezekana, Siwez angalia Movie watu wanabonyeza hewani vitu vinatokea au milipuko muda wote mtu hashonwi mateke
 
Hizi ni baadhi tu ya movies zangu pendwa
The Shawshank redemption
Forest Gump
Saving Private Ryan
No country for old men
Benjamin Button
The dark Knight
The pursuet of happiness
The pianist
The green mile
Mad max
 
Hizi ni baadhi tu ya movies zangu pendwa
The Shawshank redemption
Forest Gump
Saving Private Ryan
No country for old men
Benjamin Button
The dark Knight
The pursuet of happiness
The pianist
The green mile
Mad max
Mkuu ktk movies zote ulizozitaja nihefanikiwa kuangalia Moja tu private Ryan vipi hizo zingine ni za kivita?
 
No retreat no surrender! Komandoo Kipensi!! Tai Chii!! Snake in the Monkey shadow! Inter the Dragon! The way of Dragon! Korean historical dramas!!
 
Kuna kitu kinaitwa

Escape together


Escape from Pretoria

Escape from sobibo


Ni unyama hiz movies
 
Slum dog Millionaire Ndo movie kali ninayoikubali zaidi tangu Nimefika Duniani,

Na hadi Tuzo za oscar kipengele cha movie bora ya Mwaka ilipewa ile Movie, "Slum Dog Millionaire" Ile ndo movie Aisee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom