Calvina Calvinah
Member
- May 5, 2021
- 15
- 29
Bei ya Michele huko kwenu ipoje?
1400 1KG.
kipindi cha mavuno hiki bei chini, ngoja kipindi hiki kipite ndio uje kusema asante mamaUnga 1600 kutoka 2400 hapa ni Mtwara.. Asante mama mipango inaonekana
Huyo samia kafanyaje sasa hebu acha ujingaTunamsbukuru mama mchele umepungua.. Huku kwetu unaanza 2100 kutoka 3600