Recent content by Baba Jazey

  1. B

    Tukumbushane kisa cha mwamba aliyejinyonga kwa bahati mbaya uwanja wa golf Morogoro

    Dàaah huyo mwamba alijinyonga kimasihala ilikuwa 2004 kama sikosei
  2. B

    Zipi tamu na chungu za mimi kumiliki BMW X3

    Nafikiria tubadili mtazamo kuhusu hiz gari za ulaya BMW ni gari nzuri Tu unapokuwa barabarani ( unategemea uko na model gani Kwani zinazidiana) gari ni matunzo jama ukiitunza vizuri kamwe aikusumbui, shida ya gari nyingi za ulaya zinakutaadharisha zikiwa na shida hata kama ni ndogo itawasha...
  3. B

    Akili ya BMW kwenye Magari

    Kabisa Kwa kweli nauzoefu na gari za ulaya
  4. B

    Akili ya BMW kwenye Magari

    Jaman kila gari ina test yake gari nyingi za ulaya zina test ya kipekee Kuhusu service sio kweli unakula pesa nyingi kama mdau hapo juu alivyosema bei ni ya kawaida Sana kulingana na dhamani ya model ya hiyo BMW Kwa upande wa mafundi na vipuli Kwa sasa hivi vipi kila Kona ya miji mikuu Uzuri...
  5. B

    Watanzania /Wabongo wengi ni Washamba wa starehe

    Jaman tuvumiliane kwenye starehe, kila mtu anastarehe yake anayoipenda Kuna watu wanapenda kunywa pombe bar na kusikiliza mziki huku akiangalia totoz Mwingine anapenda Ku endesha gari huku akisikiliza mziki Kuna wale wanapenda kutalii kwenda maporini huko na kupiga mapombe yake akirudi yy ni...
  6. B

    Magari ya Ujerumani Volkswagen T ROC

    Kama umeipenda nunua Tu mkuu , Kuhusu mafundi wa magari ya ulaya wapo japo sio wengi Sana Kikubwa gari ni service mara Kwa mara , kuweka oil inayotakiwa , hakika gari itadumu Sana Ushauri wangu ,kama unataka kumiliki gari ya ulaya hakikisha unamjapani wako pembeni siku ikikataa safari...
  7. B

    Wanawake wa kimachame ni wanawake bora kabisa wa kuoa

    Natamani kujua miaka ya mtoa mada Nataman kujua ndoa yake Una muda gani Natamani kujua utajiri wa mtoa mada Baada ya kujua vitu hivi naweza kuchangia Kwa mapana hii mafa
  8. B

    Ushauri please subaru forester xt 2010

    Chukua hiyo gari wala usijiulize mara mbili bonge la chuma hilooo
  9. B

    Wadau nani anajua bei za haya magari Afrika Kusini?

    Safi Sana mkuu Kwa kuonyesha moyo wa kizalendo Kwa kutokuwa mchoyo wa fulsa za huko Hakika mungu atakubariki kwenye kazi zako
  10. B

    Wadau nani anajua bei za haya magari Afrika Kusini?

    Yan mkuu tunashukuru KWa elimu yako mana inaonekana gari za mkaburu ziko chin Sisi tunataka connection za uwakika zisizo za magumashi, mfano makampuni Kam be forward ambayo unaweza Lipia gari na ikafika
  11. B

    Wadau nani anajua bei za haya magari Afrika Kusini?

    Kikubwa Kwa wale wanye taarifa ya magari watupe , mana watu wanasema gari za afrika kusini bei sio mbaya sana
  12. B

    Mheshimu sana mtu ambae hana ajira na anayamudu maisha ya kitaani

    Daaah sasa atawezaje kumudu gharama za maisha Kunatofauti kubwa Kati ya kazi rasmi na kazi zisizo rasmi Bila kazi mtu awezi kumudu matumizi yake , tusidanganyane
  13. B

    Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

    Nunua Subaru forester kamwe hautakuja kujuta
  14. B

    Mchimbo Dubai: Tujuzane namna ya kufika, maisha yalivyo, machimbo ya bidhaa na kuufikisha mzigo Bongo.

    Jaman anaejua chimbo la used spea za magari aje atupe a b c hapa mana tunataka kujifunza Kwa waliofanikiwa
Back
Top Bottom