Wadau nani anajua bei za haya magari Afrika Kusini?

Gari afrika kusini ni ghali kuliko Dubai na japani japo km zao ziko chini kidogo.
Kwani boda nyingi ndio nini kama vibali vimekaa sawa?
 
model ya mwaka gani mkuu katika hizo gari na uangalie kodi pia huko maana bei hazipishani sana ungeangalia za 2007 mpaka 2009 model ndio zake kidogo zimepoa..,
Mkuu habari, kununua toyota hilux ya mwaka 2007 bei gani africa kusini na tra bongo sh.ngapi kodi? Kikokotozi cha tra hakionyeshi kw gari za africa kusini

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Gari afrika kusini ni ghali kuliko Dubai na japani japo km zao ziko chini kidogo.
Kwani boda nyingi ndio nini kama vibali vimekaa sawa?
Hauko serious wewe. Sauzi hapo magari bei chee plus hautakiwi kulipia hela ya kusafirisha which is far way expensive, plus unaenda mwenyewe kuiangalia chuma na kuichukua chuma uloifanyia ukaguzi mwenyewe na kuielewa.

Boda huko si uko na nyaraka za mauziano, haina shida..unaweza ukalipia kabisa mpakani pale pesa ya usajili na TRA au ukalipia ndani ya siku 90 ikiwa bongo
 
Agiza gari Japan au Dubai uepukane na Malonya ya SA
Ist ya 2004 ipo sokoni wakati SA mnadani gari ya 2004 mteja ndio anataja bei na ni Watanzania wachache wanaoweza kuendesha gari ya 2018 ya Japan wakati SA hata 2021 tunaendesha bei zao ni rafiki sana Japan wao wanaangalia soko linasemaje wakati SA wanaangalia Mwaka tuu likipitwa na muda halina soko tena..
 
Mkuu habari, kununua toyota hilux ya mwaka 2007 bei gani africa kusini na tra bongo sh.ngapi kodi? Kikokotozi cha tra hakionyeshi kw gari za africa kusini

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Gari za SA kikokoteo chao unapata vizuri kwa kuambatanisha na karatasi za Export and trade ambacho kitakufanya uwepo kwenye punguzo la kodi tofauti kubwa kwa sababu ya jumuiya ya SADC ila hiyo gari iwe imetengenezwa SA hilux karibu nyingi ni za SA made zina punguzo kubwa kutokana na model yake...
 
Nimecheki hawa Autotrade Wana hilux nyingi sana zaidi ya 1800 wanauza , tena bei nafuu sana tofauti na hilax za japan,.nataka tuue Navara iko juu ya mawe tukachukue hilax za south, ntakutafuta Mkuu.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Kikubwa Kwa wale wanye taarifa ya magari watupe , mana watu wanasema gari za afrika kusini bei sio mbaya sana
 
Nimecheki hawa Autotrade Wana hilux nyingi sana zaidi ya 1800 wanauza , tena bei nafuu sana tofauti na hilax za japan,.nataka tuue Navara iko juu ya mawe tukachukue hilax za south, ntakutafuta Mkuu.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Ok karibu hiyo Navara ya mwaka gani na ina tatizo gani maana parts zake huku za kumwaga ila Nissan wanajiamini kwenye bei kama Benz tuu..
 
Back
Top Bottom