Leo umekula maharage ya jana unajamba jamba tu.Ukosefu wa afya ya akili = Mapepo
tanzania tanzania
Ukishajining'iniza kwa kamba au mkanda huwezi tena kujifungua mwenyewe au kukata kamba mwenyewe. Kwanza kile kitendo cha kijitundika tu kinaweza kikavunja mfupa wa shingo na ukafa mara moja. unajua adhabu ya kinyongwa inafanywa kwa mahesabu ili unapotundikwa na ile sehemu uliyosimama ikifyatuliwa mfupa wa shingo unakatika mara moja na kukata mawasiliano. Huwa hawakazi kamba ili ufe kwa kukosa pumzi kwa sababu ni mateso. Ndiyo maana wafungwa wa condem huwa wanapewa vyakula vizuri na vingi ili wawe na uzito wakati wa kunyongwa.Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na mwamba mmoja mbabe sana pale morogoro akiitwa hamisi kambaya. Yule jamaa Bwana alikuwa ana kawaida ya kumtania demu wake kwamba siku akimzingua atajinyonga. Sasa siku hiyo walikuwa pale uwanja wa golf morogoro jamaa akamtania tena demu wake leo najinyonga kwasababu wewe mzinguwaji. Demu alijua ni ule utani wake wa kawaida na kweli jamaa alikuwa ana joke tu mara akatoa mkanda wake akajifunga shingoni akajiachia toka kwenye mti. Kwabahati mbaya jamaa akachelewa kujifungua kwa haraka akaanza kutapatapa mzee mmoja alikuwa anafyeka majani akamuona akihangaika na yule demu wake akiwa analia kwa kuchanganyikiwa akafika kumfungua akawa amechelewa jamaa alikufa pale pale .
Wanapiga story tu maana ni houseboy kwa ShetaniHuyo kama kaenda motoni, shetani itakuwa anamcheka sana kwa ushamba wake😆
Yaani akafanikiwa kujinyonga hadi kufa kimasihara.Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na mwamba mmoja mbabe sana pale morogoro akiitwa hamisi kambaya. Yule jamaa Bwana alikuwa ana kawaida ya kumtania demu wake kwamba siku akimzingua atajinyonga. Sasa siku hiyo walikuwa pale uwanja wa golf morogoro jamaa akamtania tena demu wake leo najinyonga kwasababu wewe mzinguwaji. Demu alijua ni ule utani wake wa kawaida na kweli jamaa alikuwa ana joke tu mara akatoa mkanda wake akajifunga shingoni akajiachia toka kwenye mti. Kwabahati mbaya jamaa akachelewa kujifungua kwa haraka akaanza kutapatapa mzee mmoja alikuwa anafyeka majani akamuona akihangaika na yule demu wake akiwa analia kwa kuchanganyikiwa akafika kumfungua akawa amechelewa jamaa alikufa pale pale .
Ina funza?Story hii ina funza.
🤣🤣🤣🤣🤣Badili ID yako iwe Mshamba huchekwa na shetani.
CHAIMiaka ya nyuma kidogo kulikuwa na mwamba mmoja mbabe sana pale morogoro akiitwa hamisi kambaya. Yule jamaa Bwana alikuwa ana kawaida ya kumtania demu wake kwamba siku akimzingua atajinyonga. Sasa siku hiyo walikuwa pale uwanja wa golf morogoro jamaa akamtania tena demu wake leo najinyonga kwasababu wewe mzinguwaji. Demu alijua ni ule utani wake wa kawaida na kweli jamaa alikuwa ana joke tu mara akatoa mkanda wake akajifunga shingoni akajiachia toka kwenye mti. Kwabahati mbaya jamaa akachelewa kujifungua kwa haraka akaanza kutapatapa mzee mmoja alikuwa anafyeka majani akamuona akihangaika na yule demu wake akiwa analia kwa kuchanganyikiwa akafika kumfungua akawa amechelewa jamaa alikufa pale pale .
kinachopotea sio akili ni mawasiliano ya mfumo wa fahamu kukata kutokana na sehemu ya shingo ambapo ndio shingo ya mfumo wa ubongo kuingia mwilini kubanwa na kamba kisawa sawa,hii hupelekea sehemu ya chini kupooza ghafla.Unaambiwa kwenye kujinyonga akili ya kujiokoa huwa inapotea fasta. Mwili unaishiwa nguvu chapu za kujinasua unabaki tu kutapatapa. Asilimia 99% ya wanajinyonga huwa wanatamanigi kujinasua lakini ndo hvyo tena inakuwa mbinde.
Asante sanakinachopotea sio akili ni mawasiliano ya mfumo wa fahamu kukata kutokana na sehemu ya shingo ambapo ndio shingo ya mfumo wa ubongo kuingia mwilini kubanwa na kamba kisawa sawa,hii hupelekea sehemu ya chini kupooza ghafla.
hakuna kiuongo kitapokea maagizo kutoka ubongoni tena,mavi,manii,mkojo hivi ni vitu ambavyo hutoka punde baada ya mhanga kujiachia,maana havina cotrol tena.
kwahiyo mhanga hapa huwa anapata akili ya kujiokoa ila viungo haviitii akili yake.
Hahahaha asio kweli weweYule mfyeka majani alibeba yule demu na anaishi naye mpaka sasa kule Tubuyu.
Uko sahihi sana!Bahati ni bahati tu.
Hakuna bahati mbaya au nzuri.
Hiyo ni bahati tu.
Sawa na neno maadili.
Hakuna naadili mema wala mabaya.
Maadili ni maadili tu.
Oyaa mbona hutaki Kuniua kwasababu ya kuwaibia TV chogo black and white 1988. Unazungukazunguka tu. Timiza ahadi yako Niue bana.Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na mwamba mmoja mbabe sana pale morogoro akiitwa hamisi kambaya. Yule jamaa Bwana alikuwa ana kawaida ya kumtania demu wake kwamba siku akimzingua atajinyonga. Sasa siku hiyo walikuwa pale uwanja wa golf morogoro jamaa akamtania tena demu wake leo najinyonga kwasababu wewe mzinguwaji. Demu alijua ni ule utani wake wa kawaida na kweli jamaa alikuwa ana joke tu mara akatoa mkanda wake akajifunga shingoni akajiachia toka kwenye mti. Kwabahati mbaya jamaa akachelewa kujifungua kwa haraka akaanza kutapatapa mzee mmoja alikuwa anafyeka majani akamuona akihangaika na yule demu wake akiwa analia kwa kuchanganyikiwa akafika kumfungua akawa amechelewa jamaa alikufa pale pale .