Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,871
Kila mtu na hobby yake ...kuna wengine ukiwaambia suala la kwenda mbuga za wanyama hawakuelewi...its a Choice
Kuna siku nilienda kutalii porini nikapiga kinywaji changu Siafu wakaingia kwenye hema langu kudogo waniue.Kuna wale wanapenda kutalii kwenda maporini
Jamani, hongera kibua 😂Mimi kiukweli starehe yangu kubwa maishani ni maji....nahisi nilipaswa kuwa samaki
😂 😂kuna muda najiuliza,ivi mi siyo sato kweli🤔🤔Jamani, hongera kibua 😂
Ila ngono na pombe ndio ilipitishwa kwa Wabongo + AfricansJaman tuvumiliane kwenye starehe, kila mtu anastarehe yake anayoipenda
Kuna watu wanapenda kunywa pombe bar na kusikiliza mziki huku akiangalia totoz
Mwingine anapenda Ku endesha gari huku akisikiliza mziki
Kuna wale wanapenda kutalii kwenda maporini huko na kupiga mapombe yake akirudi yy ni mpya
Kuna wale wanzangu na mm yy akiona maji Tu anatamani kuogelea
Kiufupi hakuna starehe ya kishamba Kwan kila mtu anafanya starehe kulingana na uhitaji wake na kipato chake
Mbuzi ndio huwa napendeleaga. Kitimoto imani yangu inanikataza kwamba hacheui.Na kitimoto
Ila samaki analika huenda ungeshakua haupoMimi kiukweli starehe yangu kubwa maishani ni maji....nahisi nilipaswa kuwa samaki
Weeeeee usiniambie!Mimi kiukweli starehe yangu kubwa maishani ni maji....nahisi nilipaswa kuwa samaki