Wanawake wa kimachame ni wanawake bora kabisa wa kuoa

Bei ya majeneza imepungua. Nunua lako mapema kuepuka ghalama kubwa huko mbeleni, ili ukishakufa wakuzike bila tatizo
 
Usiangalie kabila la mtu na mafanikio yake ndio ukajua hapa kweli nimepata wa kuowa😁😁 mwanamke haangaliwi kwa mafanikio wala uzuri,, 👉🏽OWENI WANAWAKE WENYE HERI NANYI ndugu zangu katika imani.
 
Aisee wamachame ni wanawake bora kabisa wa kuoa

Nakushauri uoe mmachame kwani hutojutia kabisa

Sio wamachame tu bali wanawake wote wa kichaga ni bora kabisa

Asilimia kubwa ya wanaoa wachaga huwa wanakua na maendeleo sana, wanawake wa kimachame na wa kichaga kwa ujumla ni wanawake wenye vision na maono ya kufika mbali kabisa

Mungu awabariki wanawake wote wa kichaga kuanzia Rombo hadi Meru
Machame nasikia wanaume wazee ni viumbe adimu wengi wametangulia na kuwaachiamali zote wake zao
 
Aisee wamachame ni wanawake bora kabisa wa kuoa

Nakushauri uoe mmachame kwani hutojutia kabisa

Sio wamachame tu bali wanawake wote wa kichaga ni bora kabisa

Asilimia kubwa ya wanaoa wachaga huwa wanakua na maendeleo sana, wanawake wa kimachame na wa kichaga kwa ujumla ni wanawake wenye vision na maono ya kufika mbali kabisa

Mungu awabariki wanawake wote wa kichaga kuanzia Rombo hadi Meru
Niura Shemeji😀😀
 
Ukioa wewe inatosha" Kuna kijana alisikika akisema

Kuoa mwanamke wa kinyakyusa ni kujiletea high blood pressure,anaposema huyu kaka yangu ujue ndo anaemkaza" alisikika kijana wa kikurya akilala.
Nikajipitia kimya mnyakyusa wa watu🙄
 
Back
Top Bottom