Wadau nani anajua bei za haya magari Afrika Kusini?

Gari za SA kikokoteo chao unapata vizuri kwa kuambatanisha na karatasi za Export and trade ambacho kitakufanya uwepo kwenye punguzo la kodi tofauti kubwa kwa sababu ya jumuiya ya SADC ila hiyo gari iwe imetengenezwa SA hilux karibu nyingi ni za SA made zina punguzo kubwa kutokana na model yake...
Mkuu vipi Scania wanatengeneza SA?
 
Gari za SA kikokoteo chao unapata vizuri kwa kuambatanisha na karatasi za Export and trade ambacho kitakufanya uwepo kwenye punguzo la kodi tofauti kubwa kwa sababu ya jumuiya ya SADC ila hiyo gari iwe imetengenezwa SA hilux karibu nyingi ni za SA made zina punguzo kubwa kutokana na model yake...
Hilux double cabin za ZA used bei gani makadirio?

Na mpya je? Nataka nipate ulinganifu na thamani ya pesa.
 
Mkuu used ya mwaka gani madhani ntaweka mitandao ya kuangalia magari wenyewe iwe mpya au used kwa miaka tofauti hata hivyo ya 2007 double cabin bado Tanzania ni Mpya unapata hata kuanzia Rand 120,000 kuendelea zidisha na 155 kupata Shilingi na pia kupata Mpya ya 2022 angalia kwenye mtandao wa Toyota.co.za hapo utakuta na mpya chini yake zipo used ukitaka BMW mpya ondoa Toyota hapo kwenye mtandao weka BMW hata gari zingine hivyo hivyo ila usilipe mtandao mitandao mingi imeingiliwa na wengi wameibiwa..
 
Mnadanganyana mnadhani kutoka na gari ya wizi SA ni kitu kirahisi tuu Morrison na umaarufu wake wote kashindwa kumaliza kesi ya gari mechi zote za SA anaziangalia kwenye TV..
Vitu kama huvijui kaa kimya tuu hupungukiwi kitu
Interpol hufuatilia gari za wizi toka South Africa na zinajazwa pale Central kibao. We endelea kufurahi bei chee zitakugharimu! kalaghabao!
 
Interpol wanatimbaga bongo kufuatilia gari za wizi toka South Africa na zinajazwa pale Central kibao. We endelea kufurahi bei chee zitakugharimu! kalaghabao!
Interpol hawasafiri kilichopo ni kuwa wapo polisi Tanzania na Nchi zote za SADC wameungana kuhusu uhalifu wa hizi Nchi sisi wengine tumeanza kununua 504 mwaka 2002 mpaka leo tupo na Ford Raptor ni wauzaji huku SA na Tanzania siwezi kupata taarifa kutoka kwako SA vitu ni vingi tuu bei za kawaida sio magari tuu yapo maduka kila siku ni sell sell Tanzania kwa sababu tunaamini katika umasikini tunakatishana tamaa sana hata kwa vitu vidogo gari sio ishu ya kujadili kwa wasafiri labda aina ya Gari..
 
Achane naye huyo jamaa huwa anapinga kila kitu na huwa anajua kila kitu
 
@ Isanga family Tusaidie pia upande wa manunuzi south kuna hawa Auto trader Wana tangaza gari nyingi zinazouzwa unawazunguziaje Mkuu,? Usalama wa fedha upande wa ununuzi mana Wana tofauti na be forward wenyewe hawasafirishi gari
Msaada

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
@ Isanga family tusaidie upande wa TRA mfano toyota hilux double cabin ya 2010 ,cc 2.7 yaweza tozwa sh.ngapi? Wastani? Mana calculator ya tra gari za south hakuna.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Hizo gari inakua nusu ya kodi ya gari ya Japan ukiisoma ila iwe na karatasi ya export ya SA ambayo inaonyesha made ya SA wote hawa ni SADC kodi zipo pungufu..mfano Land cruiser zile mnaita mkonge kodi ya ikitoka Japan ni 28m mpaka 35m lakini gari hiyo hiyo mwaka huo huo ya SA ni 15M mpaka 18M...
 
Hilux Double Cabin iliyoinuka SA kuanzia mwaka 2003 naweza kupata kwa bei gani.

Na pia Brand New inasimama bei gani tafadhali
Kwa SA gari za 1998 mpaka 2005 utazipata kwa wauzaji wa mnadani(Auction) na bei zake inategemeana na idadi ya wateja wanaolitaka ila haiwezi kuzidi Tsh 7m gharama itaongezeka kidogo kwenye kubadili umiliki na mambo ya polisi na Interpol clearance pamoja na dot Watanzania wengi wamekua na garage za kuuzia magari maana mengi yanapatikana kwenye minada na bei nafuu mengine ya ajali mengine sio ya ajali na wenzetu wanaangalia sana Mwaka ilikipita muda kidogo thamani yake kubwa inapungua sokoni...ila ununuzi wa gari inatakiwa uwepo SA mwenyewe sio kumuagiza mtu
 
Hapo kwenye garage za wabongo ilitakiwa utaje kidogo japo garage mbili tatu za wabongo unazoziamini na miji gani zilipo na namna gani watafikiwa usaidie watu taarifa kukosa taarifa ni sawa na kua gizani
 
SA ni kama kariakoo tuu Mkuu hakuna ugumu unaouzungumzia Watanzania wengi wanakuja kununua gari na kuondoka nazo walio seriuos wanajua njia za kupita...
 
Gari za kaburu hizo...
IMG-20220405-WA0046.jpg
Screenshot_20210620-112649_Chrome.jpg
 
Kwa SA gari za 1998 mpaka 2005 utazipata kwa wauzaji wa mnadani(Auction) na bei zake inategemeana na idadi ya wateja wanaolitaka ila haiwezi kuzidi Tsh 7m gharama itaongezeka kidogo kwenye kubadili umiliki na mambo ya polisi na Interpol clearance pamoja na dot Watanzania wengi wamekua na garage za kuuzia magari maana mengi yanapatikana kwenye minada na bei nafuu mengine ya ajali mengine sio ya ajali na wenzetu wanaangalia sana Mwaka ilikipita muda kidogo thamani yake kubwa inapungua sokoni...ila ununuzi wa gari inatakiwa uwepo SA mwenyewe sio kumuagiza mtu
Yan mkuu tunashukuru KWa elimu yako mana inaonekana gari za mkaburu ziko chin

Sisi tunataka connection za uwakika zisizo za magumashi, mfano makampuni Kam be forward ambayo unaweza Lipia gari na ikafika
 
Back
Top Bottom