Mheshimu sana mtu ambae hana ajira na anayamudu maisha ya kitaani

Unakuta mtu hana ajira na hajajiajiri na anamudu maisha ya mtaa. Na hutasikia wakilalamika vitu vimepanda bei kama waajiriwa.Nina kibarua ila bado maisha ni tight na hela haitoshi. Na ana simu kali, demu mkali na n.k. Salute kwenu wote, hii ndio Bongo tukina.
Kumbuka kuna ajira na biashara zisizokuwa halali.
 
Na wala huwezi kupiga hodi kwenye mlango wa Friji 😂😂
Unapigaje hodi wakati sio vilivyomo ndani ndio vinakufungulia au wewe ndio unaingia humo ndani.
Msemo huu umetungwa na mtu hasiyekuwa na uwezo wa kupambanua mambo na haufai kutumika!
 
Unakuta mtu hana ajira na hajajiajiri na anamudu maisha ya mtaa. Na hutasikia wakilalamika vitu vimepanda bei kama waajiriwa.Nina kibarua ila bado maisha ni tight na hela haitoshi. Na ana simu kali, demu mkali na n.k. Salute kwenu wote, hii ndio Bongo tukina.
Wanaolalamika vitu vimeoanda bei wengi ni walimu
 
Unakuta mtu hana ajira na hajajiajiri na anamudu maisha ya mtaa. Na hutasikia wakilalamika vitu vimepanda bei kama waajiriwa.Nina kibarua ila bado maisha ni tight na hela haitoshi. Na ana simu kali, demu mkali na n.k. Salute kwenu wote, hii ndio Bongo tukina.
Kibarua chako Mkuu tunajua Ni TGTS D ambayo Ni 700k ukikata makato yote unabaki na 470,000/- hiyo siyo pesa nyingi lazima uone maisha tight imagine Kuna mwenzio 470k Ni Posho kwake especially TRA staffs
 
Mtoa mada unaonekana unamaisha ya kujibanaaa na kipato chako sio kizuri.
Umeanzisha Uzi ujue namna ya kujiongezea kipato,
Bahati mbaya humu wengi tupo vizuri tunauwezo wa kula lunch ya 200k
 
Daaah sasa atawezaje kumudu gharama za maisha

Kunatofauti kubwa Kati ya kazi rasmi na kazi zisizo rasmi

Bila kazi mtu awezi kumudu matumizi yake , tusidanganyane
 
Yaani kazi yoyote ya kuingiza hela,iwe ajira rasmi au kujiajiri
Mtu aliye jiajiri ndiyo tayari ana kazi, mtu asiye na kazi kabisa kama ulivyo sema hawezi kua na ulivyo visema, Kuna mahala umechanganya mambo
 
Unakuta mtu hana ajira na hajajiajiri na anamudu maisha ya mtaa. Na hutasikia wakilalamika vitu vimepanda bei kama waajiriwa.Nina kibarua ila bado maisha ni tight na hela haitoshi. Na ana simu kali, demu mkali na n.k. Salute kwenu wote, hii ndio Bongo tukina.
Nadhani kinachokusumbuwa ni tofauti kati ya riziki na kipato.

Mungu anatowa riziki kwa wote hata kama huna kazi, ila wenye kazi ndio wana uhakika wa kipato, lakini riziki ni kwa wote.

Sasa ukishalijuwa hili huwezi kusumbuwa akili yako.
 
Hakuna mtu asiye na kazi Mkuu alafu akamudu mahitaji yake.

Sema wewe na wengi WA watu wanafikiri kazi ni kuvaa tai na Suti kwenda Kazini.

Siku hizi kuna kazi nyingi na kila siku zinaongezeka.
1. KAZI za nguvu ambazo hufanywa na vibarua
2. KAZI za udalali, consultant, UWAKALA hizi hufanywa na watu wenye mdomo mzuri
3. Kazi za Mtandaoni, kuuza bidhaa au Huduma
4. Kazi za ufugaji na kilimo.
5. Kazi za u-MC, U-Dj
6. KAZI ya mwanamuziki, dancer, na producer
7. Kazi ya Uchawa, upambe n.k
8. KAZI ya Upishi, mama ntilie,
10. KAZI za UDOBI, kazi za Usafi wa maofisini na MAJUMBANI
11. Kazi za ulinzi, uangalizi WA nyumba au ubodigadi

12. Kazi za umario, udangaji n.k
13. KAZI za UDEREVA magari, ubodaboda, N.k
14. KAZI za messenger, U-delivery wa vitu
15. Kazi za ukuli wa masokoni, Machinga na udalali wa mazao
16. KAZI za usafirishaji wa abiria kwenye mabasi, vifurushi Kwa kukata ticket au kuwa Sarange.

17. Kazi za kuokota makopo
18. Kazi za biashara ya marketing Kama forever living products, Aim Global
19. KAZI za umotiveshini speaker
20. KAZI za kucheza michezo ya kubahatisha, kamari na kubet.

21. Kazi za unabii, utume, usharifu na wapambe wao.

22. Kazi ya kuuza puturu, mundende na bidhaa zote za dawa za kiume.

23. Kazi ya kuuza picha za uchi, au video za uchi Mtandaoni katika sites za ngono.

Na kazi zingine haramu
Kazi ni kazi tu ilimradi mkono uende kinywani.
 
Unakuta mtu hana ajira na hajajiajiri na anamudu maisha ya mtaa. Na hutasikia wakilalamika vitu vimepanda bei kama waajiriwa.Nina kibarua ila bado maisha ni tight na hela haitoshi. Na ana simu kali, demu mkali na n.k. Salute kwenu wote, hii ndio Bongo tukina.
Hajaajiriwa!hajajiajiri!! Ila pesa anazo!!too much contradiction,pesa anapata wapi!!huyo atakuwa jini,au mtoto wa Raisi.
 
Nadhani kinachokusumbuwa ni tofauti kati ya riziki na kipato.

Mungu anatowa riziki kwa wote hata kama huna kazi, ila wenye kazi ndio wana uhakika wa kipato, lakini riziki ni kwa wote.

Sasa ukishalijuwa hili huwezi kusumbuwa akili yako.
Sasa riziki inapatikanaje bila kazi?SEMA kama ni mke wa nyumbani,analetewa na mume tu,akiwa na wenzie,yeye anayo riziki,pesa ya mume,lakini kazi Hana,ila
 
Riziki inatolewa na Mungu, kipato ndio kinatolewa na binadamu.

Unahitaji kuwa na mawazo yaliyoshiba kiroho ili uweze kukielewa kipengere hichi.

Ukraine hakuna kinachoendelea ni vita, hakuna tena kipato ila riziki inapatikana hata kwa kiasi kidogo.

Kuna vitu vingine ni mifumo ya Mungu mwenyewe, ndio maana hapaswi kuumiza kichwa sana kuhusu kesho, kesho yako tayari Mungu ameshaipanga.
 
"Msihangaike kamwe kuhusu kesho,kwa maana kesho itakuwa na mahangaiko yake yenyewe" Mwisho wa kunukuu MATHAYO 6:34
 
Back
Top Bottom