Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Wassapp is a Low Level Studio’s unofficial client of WhatsApp. It works for almost all prevailing Windows OS just like the BlueStack Android emulator. The only reason I see that you may choose...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
naomba msaada simu yangu ukitumq sms mara moja zinaendelea kuingia zaid ya mara moja. nimejaribu kuristore lakin tatizo likawa lile lile. nifanyeje wadau nisaidieni please
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, nina 195,000/- na nina mpango wa kununua simu, inayokaa line moja, na ambayo haibagui aina ya simcard, na nzuri, yenye wats up, speed nzur kwenye browsing, na haisumbui. Naomba msaada...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
How can I restore nokia X....?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jamii. Hii tablet ilikuwa ina-run very smooth. Lakini sasa ina tabia si yakawaida. Nikiwa na-surf kwenye internet, ghafla inarudi home screen. Ukifungua browser, inarudi kwenye page...
0 Reactions
6 Replies
922 Views
naomba elimu kuhusu jinsi ya kununua bidhaa kutoka ebay au amazon na kuzipokea hapa bongo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
lumia 720 na 820 zinauzwa tsh ngapi ?
0 Reactions
3 Replies
760 Views
Nipo hapa napiga mzigo mmoja hv! Natumia laptop hp elitebook ya ofisi moja hv ya mshikaii wangu, mara taaa sauti ya laptop haipo! Nikicheza cd sauti haisikiki! Nikiwasha na kuzima hakuna sauti...
0 Reactions
1 Replies
695 Views
Ndugu zangu kunajamaa kanambia kwamba simu kenya zinauzwa bei rahisi sana kuliko tz. Mfano hizi smart phone ndogo za sumsang anasema ni kama sh 4500 ya kenya. Is this really true? Jamaa ni mkazi...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Kutumia whatsapp kwenye simu za nokia nilizotaja hapo juu imekua ni changamoto kwa sasa, mimi binafsi natumia nokia x hvyo natoa maelekezo kusaidia wanajf leo. 1.ingia kwenye...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hi jf members, am using tecno p3 I always do use opera min to browse but since yesterday am trying to access internet using this opera min but ending unable to connect. pls i need your help.
0 Reactions
2 Replies
941 Views
wadau wote mzigo upo wa kutosha ni kwa mtonyo ule ule wa 6000/ kwa mwezi. najua wapo ambao hatuelew kma hujaelewa ni pm au ni chek kwa 0759212578 watsup 0688148836 karbuni sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Programme gani naweza kutumia katika kuunganisha video au video editor. Kuna video nataka kuziunganisha nitumie app gani? Kifaa nacho tumia ni Kompyuta.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda nimekua na tatizo kama hili la meseji ambayo ilishatumwa hata siku mbili zilizopita inakua inaendelea kuingia hata siku tatu mfululizo mbele na si kwa simu hii hata tecno m3...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji mtaalamu wa kunitengenezea blog kwa bei nzuri. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane: richie_massive@yahoo.com
0 Reactions
19 Replies
5K Views
napenda kuwa mwalimu wa I.C.T vyuo vya ualimu au popote...ila sijui ujuzi gani unahtajika...plz?
0 Reactions
1 Replies
757 Views
Wadau wa mac osx, IDM inapiga kazi kwenye mac kama kawaida, uachotakiwa kufanya ni ku-install crossover kupitia hii app utaweza ku-install baadhi ya windows apps kwenye osx yako na zika run poa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wahusika napenda kupata msaada nina kisimbusi cha QSat Q15G kimeharibika remote control. inasuasua, battery zina heat zikiwekwa muda mrefu. Je! Naweza pata ushauri wowote, nifanyeje..
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Nahitaji kulipia decorder muda wa hewani, ila sifahamu jinsi ya kufanya, yahaani package ni bei gani,Nashukuru sana NB Natumia antenna sio ungo
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Msaada kwanini whatsapp cant support kwenye nokia x?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom