Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

kipind tupo wadogo nlisikia fomula 1 ya kutengeneza umeme dc kwa kutumia kinyesi cha binadamu(chooni). hebu tukuwekane sawa hii inawezekanaje? maana umeme umekuwa adim sana
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Which theme color is best for #mayocoo www.mayocoo.com (A) peter river (white blue) (B) pumpkin(Yellow + orange)
0 Reactions
2 Replies
579 Views
Naomba msaa wa kupata PIN/CODES au technique ya ku-unlock nokia Lumia 520, ni brand new, ila nimeshindwa kuingiza PIN zake
0 Reactions
12 Replies
4K Views
15 new Asian smartphone makers hoping to crush Samsung and Apple April 22, 2014at 4:25 pmby Steven Millward Share 2915307522460 Samsung is the world's – and Asia's – top smartphone...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari wadau Nina shida kwenye my profile yaani kama mtu ame-reply with a quote ile quote siioni kwenye my profile japokuwa kwenye notification pale inanionyesha na niki-click kitu hakionekani...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
nina simu aina ya sumsung duos,wk iliyopta imezima na nikiwasha inabaki maandishi ya sumsung kweye screen, baad ya hapo hakuna kinachoendelea. naombeni msaada km kuna mtu alishawahi kupatatatizo...
1 Reactions
0 Replies
995 Views
Jamani wadau mwenye hiyo os naomba maana kudownload nw net inasumbua pia games na softwares ntashukuru
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Ni baada ya kutumbukia kwenye maji juzi, nliitoa nikatoa betri na kuikausha kwa kuianika juan kwa mda wa masaa kadhaa, baada ya kuiwasha iliwaka ila ikawa haionyeshi vyem so nikaizima na kuendelea...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi.! Nina simu tajwa hapo juu ina tatizo la kukataa kuongeza salio kwa njia ya kawaida na maanisha *104* inakubali tu kwa njia ya sauti,na pia haiwezi kuonyesha salio kwa njia...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
To Android and iPhone OS owners/users: You can set your apps to only update over WiFi. Go to your settings page, then under "Wireless & Networks" heading (usually at the top of the setting list)...
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Nilidownload game inaitwa pirateville. Ni nzuri sana hasa kwa watoto. Lakini unapewa 1 hour free trial baada ya hapo unaambiwa ununue. Sasa nawezaje kubypass hiyo requirement ya kulipia au...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada kama kuna mdau anajua sehemu naweza kupata fundi anayeweza kunibadilishia screen ya laptop(HP) yangu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada nifanye nn ili ni update pc yangu .. yan nilisha weka windows 8 ila inanambia ni update
0 Reactions
13 Replies
2K Views
habar wana jf? samahan wakuu na natumia pc aina ya hp, tatizo lake kubwa n kwenye keybord unapotype heruf O inaandika "q qerwiuPO" na unapotype heruf L inafungua Mozilla natumia window 8 wakuu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninaomba kujua itanigharimu kiasi gani ku-unlock modem ya zte-3772-z kwa kutumia dc-unlocker na jinsi gani yakupata hizo credit zitakazoniwezesha ku-unlock? Maana nimejaribu kuitumia hiyo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
wakuu habari zenu?? Naomba kwa mwenye kujua ni wapi nitaweza kupata hp destop used yenye ubora mzuri na ambayo haitakuja kunisumbua!! Mimi nipo Dar
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Hi Member I have been working on a web project using html5 and CSS3,the site looks ok in other browser that support CSS3 features especially border-radius and box-shadow. I would like to get...
0 Reactions
50 Replies
372K Views
Wakuu naomba mnisaidie waya wa chaji ya laptop aina Toshiba ulikatika na kuungua kwahiyo zinauzwa bei gani madukani? Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
567 Views
waheshimiwa wana jf naomba msaada simu tajwa hapo juu inatatizo la kukata mawasiliano sek 3 had 5 muhusika namsikia mimi hanisikii nikimpigia tena tunasikilizana mala tena sauti inakata upande...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau anayejua jinsi ya kuroot techno p3 msaaada tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom