Nataka Kutengeneza BLOG

ingia www.blogger.com, login na gmail account yako tengeneza blog au nenda google.com search " how to make a blog "

sio wote wanaweza kufanya hivyo na ikawa hivyo...blog nzuri ni ile yenye template ambayo interface yake ni nzur kwa mtumiaji... so vitu vngne kaknowledge lazma katumike ili kupata ktu bora zaid
 
ndio najua lakini vile akaanza ku tengeneza blog mpya ni kwa kuingia kwenye blogger halafu, ndio atafute template inayo fanana na Maada ya blog yake
 
Nahitaji pia kutengeneza blog awali niliwahi kutengeneza ila sikufanikiwa kuweka muoneka mnzuri yangu inamalengo ya kielimu zaidi kwa ajili ya wanafunzi nahitaji msaada kutoka kwa mtu anayeweza kuweka muonekano mzuri na link ambazo nitakuwa naweka material ya kielimu natanguliza shukurani huku nikisubili msaada wenu...
 
Naunatakiwa Na Muda Wakaz Zako Zakawaida Uzitenge Maana Kuperuz Umu Kuna Malizaga Muda Sana Au Ndo Kama Ulivyo Sema Uwe Na Watu Wakukuendeshea,
Na Mafankio Ya Blog Sio Mapema Mapema Kuyapata So Apo Cha Muhimu Uwe Na Muda Tu Wakueleweka,
 
naweza kukutengenezea blog nzuri, pia nitakutengenezea na kuziunganisha na social netwoks popular kama facebook, twitter na instagram pia na namna ya kutuma post ika post kwenye mitandao tote mitatu kwa mara moja, kukuondolea usumbufu wa kuingia katika kila website na kupost. yote hiyo kwa 45,000/= tu.

Ukiongeza 15,000/= unapata domain name yako mwenyewe mfano www.blogyako.com

call: 0758 717754
 
mi vyote hivyo hapo juu sitaki... nataka nikupe hiyo elfu 15 uniwekee domain name.. Je,inawezekana?
 
Nahitaji pia kutengeneza blog awali niliwahi kutengeneza ila sikufanikiwa kuweka muoneka mnzuri yangu inamalengo ya kielimu zaidi kwa ajili ya wanafunzi nahitaji msaada kutoka kwa mtu anayeweza kuweka muonekano mzuri na link ambazo nitakuwa naweka material ya kielimu natanguliza shukurani huku nikisubili msaada wenu...
Kama Hii Maktaba
 
mambo vipi? bado unahitaji kutengenezewa forum?? nitakufanyia ka bei nzuri sana.

nipigie kwa 0758 717754
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom