Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Wakuu niliedit file la human player kuweka "cheats" nikatumia notepad. Sasa kitu kimegoma kabisa kufunguka. Linanambia "invalid qvm format in file "humanplayer..." Msaada kwa mwenye maujanja...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Msaada wenu wanajamvi..haikubali cd wala radio ya kawaida..kuna mtu alichezea ikazima..kuwasha ndo hivyo..
0 Reactions
1 Replies
2K Views
poleni na majukumu wadau. sasa nimeamua kuuliza humu hii samsung yangu mtu anaweza kukutumia sms ikafika vizuri bila shida tatizo message hiyo hiyo inaweza kuendelea kuingia kwenye simu ata siku...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za leo wanajukwaa. wadau naomba msaada kwa anayejua tatizo la simu kuji duplicate sms. Simu yangu ni samsung duos GT-S5303. Shida inakuwa ninapotumia sms moja inakuwa inajiduplicate...
0 Reactions
0 Replies
509 Views
Nimeona kwenye series mbalimbali hasa za wakorea kuwa wana taa automatic ambazo wakiingia ndani tu zinajiwasha na wakijiegesha zinajizima jee ni wapi InauWa au nani anaweza zitengeneza and what is...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
wanajamvi najua humu watu wanauza maduka ya cm pengne ni wamiliki wa maduka hayo,mimi nina sh.250000,nawezapata cmu tajwa hapo juu bland new,ahsante.
0 Reactions
3 Replies
744 Views
Wakuu natumia Samsung Ace 2....hivi karibuni imekuwa na mtindo wa kujirestart kila ninapopigiwa simu, appl ikistack na muda mwingine bila sababu yeyote inayoonekana, inajizima na kuwaka!! Naomba...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
tafadhali wakuu naombeni ushauri kati ya hiz smartphone iphone and samsung galaxy, alf nasikia sina huakika ni kweli et kwenye iphone kila software ukitaka kudownload lazma uripie. msada please wadau.
3 Reactions
51 Replies
14K Views
Nashindwa ku-download mafile yanayozidi 4GB kwa kutumia IDM. Nimejaribu kwenye Windows 7 both 64 bit & 32 Bit bila mafanikio. IDM yangu ni latest lakini pia ipo cracked. Nikibofya download link...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni wazi kabisa tunatofautiana matumiza ya internet kuna wale ambao ni heavy internet users hawa wana matumizi makubwa sana kiasi kwamba wengine hata kwa mwezi wanafkisha gb zaidi ya 100 ili...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa mda mrefu sasa natafuta sehemu ninapoweza pata kozi fupi ya kujifunza programming kwa ajili ya kazi Fulani. Nilikwisha soma kidogo Pascal programming nikiwa chuo ila ningependa kupata ujuzi...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nina simu anina ya sony xperia ...ambayo natumia kuangalia emails(Gmail) mara kwa mara....Lakini leo nimeamua kutumia PC ili niweze kujibu kwa kirefu email moja muhimu ambayo ilitumwa 29/06/2014...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Habari wana Jamiiforums, nahitaji kufaham ni aina gani ya computer yenye uwezo mkubwa wa ram,graphic card na gpu na specificaions nyinginezo ambayo nitaitumia kwa ajili ya video editing na 3d...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Wana JF habr zenu, mie leo nashda moja, kuna laptop ninayo ila haina partition yan nikipga window chin kila kitu kinapotea, Ila yupo jamaa akanambia niweke partition sasa watu kama mimi BBC (Born...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau. Naomba msaada kwa watalam wa simu,nina simu aina ya samsung galax GT-B5512, tatizo lake ni kuwa imekata internet na kila napo fanya setting za vpn inagoma kuconnect mara tu ya...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Nimepotelewa na funguo ya gari na haikuwa na copy, vipi kuna uwezekano wowote wa kutengeneza funguo bila copy ya kuangalizia? Kama kuna mtu anao utaalamu tusaidiane au tupeane contacts kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu,ninahitaji msaada wenu ninatumia Tab ya kichina line mbili inasumbua hasa ninapotaka kupata ama kujua salio inaniletea maandishi mengi yasio eleweka,hivyo inaniwia vigumu kupata...
0 Reactions
2 Replies
992 Views
ninatumia pc aina ya dell na niifungua battery kuna sehemu ya ku_insert sim card,naomba nijulishwe namna ya kutumia maana niliiweka na kuwasha pc lakini sikuona notification yoyote.....
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji kutumia WhatsApp kwenye laptop yangu lakini nimekutana na changamoto kadhaa, hivyo na naomba mawazo ya ziada kutoka kwenu wadau. Hatua nilizo fanya ni hizi hapa; Nime-download...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wana JF SIM yangu kila baada ya masaa mawili inakuwa kwny safe mode,then apps zote zinapotea kwny display..nikireset inakuwa ok but baada ya 2 hrs inarudia tatizo lilelile..no Samsung NOTE...
0 Reactions
2 Replies
15K Views
Back
Top Bottom