Budget Gaming PC build

Baba Rhobi

JF-Expert Member
Nov 4, 2020
1,328
2,242
Wakubwa habari za mida tena, nahitaji ku jenga Gaming PC, kwa kutumia parts kutoka AliExpress. Mimi sina uzoefu na kazi hii na sijawai kufanya jambo hili nataka, kwanzia mwezi wa 12, nianze kuagiza parts moja moja kulingana na budget, kipato changu sio kikubwa kihivo.

Mchanganuo wangu ni kama ifuatavyo kila part na bei yake.

MOTHERBOARD COMBO:
Hii ni combo ya motherboard, RAM na CPU.
CPU ni xeon e5 2650 V3, RAM ni 16GB ECC RAM, na motherboard ni x77 kama sijakosea kwenye hio combo.

IMG_20231102_112834_1.jpg

PSU.
PSU niliyochagua ni Aigo 500watt.
bei ni kama ionekanavyo hapo 80,000/=.
nimepitia reviews zake naona sio mbaya na ina free shipping.

Screenshot_2023-11-02-11-39-14-744_com.alibaba.aliexpresshd.jpg

SSD
SSD nimeweka budget ya 60,000/= ambapo nategemea NVME SSD ya 500GB.

CPU COOLER.
Hapa naenda na Aigo pia wana cooler yao nimeona ratings zake sio mbaya iko na fan 3, kama sijakosea, bei yake ni 50,000/=.
Screenshot_2023-11-02-11-41-29-222_com.alibaba.aliexpresshd.jpg

GPU
GPU bei sana, na kulingana na budget yangu napanga kuchukua rx 580 8GB, kwa budget isiyozidi 160,00/= naona ina perform fresh kwa 1080p tena high settings most titles.
IMG_20231102_113426_1.jpg

CASE
Upande wa case budget yangu nimetenga 100,00/= kuna case nimeziona Alibaba 50,000/= tu, na ukiweka 50,000 nyingine ya Silent Ocean nakadilia sijawai tumia, ocean ila naona ni nafuu sana kwa vitu vizito make AliExpress bei za chasis zimesimama sana kutoka na shipping.

Jumla inachezea roughly 650,000/=.
Naombeni msaada wa mawazo pa kubadilisha, pa kuongeza na pa kuondoa before sija anza parts hunting AliExpress, na pia kama kuna better option zaidi ya hii pia nawakalibisha.
NB: Nna mpango wa kutumia hii machine kwa ajili video editing na casual 3d rendering.
 
Kwenye Chasis nimelenga aina hii hapa chini.
356633500-473227732.jpg

Ila hio motherboard tajwa hapo juu ni server motherboard hua zimekua designed kufanya kazi 24/7 so feni hua ina zunguka at 100% even at no load nna mpango wa kununua fan controller sasa sijajua kama itatatua tatizo au vipi, anaye jua nahitaji msaada juu ya hili.
Chief-Mkwawa
na wajuvi wote wa PC building pamoja gaming enthusiasts karibuni mtoe maoni yenu, na wengine msio jula lolote feel free kuuliza ninalojua niko tayari kujibu.
 
Mkuu hio Cpu ni za workstation/server, japo ina cores 10 ila per core perfomance ni ndogo, ita struggle kwenye baadhi ya games, vyema tafuta cpu kama gen ya 8 hivi hata ikiwa core 6 ila angalau per core perfomance itakua kubwa. Na on budget siku hizi ryzen 5xxx series zipo vyema zaidi.

Pia shipping ya vitu kama Case na vitu vizito vizito inaweza fika laki na upuuzi.

Kuhusu cooler ukienda Machinga ama likoma kkoo rahisi kupata assume una tight budget. Ila hio Cpu na Gpu pekee tegemea kufunga Ndoa na Tanesco tunaongelea around watts 400 mpaka 500 za ulaji umeme.
 
sasa hapo mkuu, mfano huio i5 8 gen inakaa kwenye motherboard ipi, na alternative ya GPU hapo nifsnyeje
 
na mfano hii njia ya ku upgrade ma optiplex imeka aje, upande wa gharama, mfano wa i5 8gen bei zikoje na i7 7gen au i3 10 gen nayo bei zimekaaje nikitaka nichukue then nije kuweka GPU.
 
sasa hapo mkuu, mfano huio i5 8 gen inakaa kwenye motherboard ipi, na alternative ya GPU hapo nifsnyeje
Sadly hakuna alternative ya GPU, Rx 580 ina nguvu kushinda gpu za laki 5, sema ukisolve kwenye cpu itasaidia kwenye GPU pia,

8th gen ni LGA 1151 ambayo zinaingia gen ya 8 na 9. Ukinunua machine ya i5 sasa hivi baadae huko unaweza upgrade kwenda i7 ama i9 gen ya 9. Ila ukipata i7 gne ya 8 ni bora zaidi kuliko i5 sababu ya hyperthread, game nyingi zinataka thread 8.

Kama una muda hata hapa Tanzania unapata desktop nzuri cheza humo humo kwenye workstation sema ziwe na consumer cpu ama Xeon za karibuni gen ya 8 kupanda, brand zake zipo hivi.
-kwa HP zinakua Z series
-kwa Dell zinakua precision series
-kwa Lenovo Thinkstation etc

Hizo ndo zinakua na PSU za watts 500 ama zaidi zinazohandle GPU za maana.

Pia kama una Connection za Kenya huyu jamaa yupo vyema.
Screenshot_20231102-133152.png
 
Mkuu naona hiyo bei imesimama sana

View attachment 2801341
Mkuu naona hiyo bei imesimama sana, hivi kwa budget ya 450K mpaka 500K, naweza pata desktop ya aina gani hapa hapa bongo ili nibakize ya GPU na PSU.
 
Mkuu naona hiyo bei imesimama sana

Mkuu naona hiyo bei imesimama sana, hivi kwa budget ya 450K mpaka 500K, naweza pata desktop ya aina gani hapa hapa bongo ili nibakize ya GPU na PSU.
Hio ni Zen 3 machine ya uhakika

Kwa 400k unapata gen ya 8 bila shida issue ni hizi desktop za kawaida kina optiplex, elitedesk, thinkcentre etc psu zake ni proprietary na hazikubali gpu zinazokula umeme kama Rx 580.

Hizo brand nilizokutajia juu, Dell precision, HP Z series, Lenovo thinkstation ndio ambazo zina psu za maana tafuta hizo, sema ni chache sana inabidi uzungukie machimbo mengi.
 
mkuu asante sana.
 
Wakubwa habari za mida tena, nahitaji ku jenga Gaming PC, kwa kutumia parts kutoka AliExpress. Mimi sina uzoefu na kazi hii na sijawai kufanya jambo hili nataka, kwanzia mwezi wa 12, nianze kuagiza parts moja moja kulingana na budget, kipato changu sio kikubwa kihivo.

Mchanganuo wangu ni kama ifuatavyo kila part na bei yake.

MOTHERBOARD COMBO:
Hii ni combo ya motherboard, RAM na CPU.
CPU ni xeon e5 2650 V3, RAM ni 16GB ECC RAM, na motherboard ni x77 kama sijakosea kwenye hio combo.

View attachment 2801175
PSU.
PSU niliyochagua ni Aigo 500watt.
bei ni kama ionekanavyo hapo 80,000/=.
nimepitia reviews zake naona sio mbaya na ina free shipping.

View attachment 2801188

SSD
SSD nimeweka budget ya 60,000/= ambapo nategemea NVME SSD ya 500GB.

CPU COOLER.
Hapa naenda na Aigo pia wana cooler yao nimeona ratings zake sio mbaya iko na fan 3, kama sijakosea, bei yake ni 50,000/=.
View attachment 2801190
GPU
GPU bei sana, na kulingana na budget yangu napanga kuchukua rx 580 8GB, kwa budget isiyozidi 160,00/= naona ina perform fresh kwa 1080p tena high settings most titles.
View attachment 2801194

CASE
Upande wa case budget yangu nimetenga 100,00/= kuna case nimeziona Alibaba 50,000/= tu, na ukiweka 50,000 nyingine ya Silent Ocean nakadilia sijawai tumia, ocean ila naona ni nafuu sana kwa vitu vizito make AliExpress bei za chasis zimesimama sana kutoka na shipping.

Jumla inachezea roughly 650,000/=.
Naombeni msaada wa mawazo pa kubadilisha, pa kuongeza na pa kuondoa before sija anza parts hunting AliExpress, na pia kama kuna better option zaidi ya hii pia nawakalibisha.
NB: Nna mpango wa kutumia hii machine kwa ajili video editing na casual 3d rendering.
Yangu hii

Motherboard maxsun b450m bei 180000
Processor amd ryzen 5 pro 3400g
Gpu amd rx 580 bei 180000
Ram 16 gb (8gb × 2) bei jumla 90000
Ssd gb 256 (kwa ajili ya windows boot)
Power supply asus delta watt 500 bei 50000
Case asus assensio series. Bei 25000

IMG_20240315_135728_295.jpg
 
Yangu hii

Motherboard maxsun b450m bei 180000
Processor amd ryzen 5 pro 3400g
Gpu amd rx 580 bei 180000
Ram 16 gb (8gb × 2) bei jumla 90000
Ssd gb 256 (kwa ajili ya windows boot)
Power supply asus delta watt 500
Case asus assensio series. Bei 25000

View attachment 2971212
Asante mkuu, game langu pendwa ni Forza Horizon na far cry, vipi hapo kwa kutumia hio card unapata rx 580 vp unaweza play at high settings 1080 kweli.
Au kwa games zipi ambazo wewe unacheza kwa settings zipi.
 
Yangu hii

Motherboard maxsun b450m bei 180000
Processor amd ryzen 5 pro 3400g
Gpu amd rx 580 bei 180000
Ram 16 gb (8gb × 2) bei jumla 90000
Ssd gb 256 (kwa ajili ya windows boot)
Power supply asus delta watt 500
Case asus assensio series. Bei 25000

View attachment 2971212
Af bei ya hio case hapo ni Elfu ishirini na tano au Laki mbili na nusu.
Na PSU ulinunulia wapi bongo au uliagiza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom