Nyumba inauzwa ipo maeneo ya vetenary temeke.Ina
1.master room moja
2.guests rooms mbili
3.sebule/seating room moja
4.jiko
5.public toilet ya ndani
6.public toilet ya nje
7.visima vya maji viwili...
Habari za siku ya leo ndugu yangu, leo nisiku nyingine tena ambayo nawalete habari njema juu ya makazi ya mwanadamu.
Nyumba hii ina vyumba 4, jiko1, seating room1, frems 2 kwa upande wa kulia...
Ndugu mteja, Nyumba hii inapatikana maeneo ya Chamanzi Dovya kwa Mzara jijini Dar es salaam. Kwa gari ni 10dk kwa speed ya 30kmp/hr kutoka Mbagala Rangi tatu hadi eneo ilipo nyumba hii.
Nyumba...
Nyumba ina vyumba vtatu (1master&2single with public toilet),sitting room kubwa, dinning, (fens&parking area),umeme unawaka ipo barabara ya mtaa kutoka stand ya daladala n mita 700 contact 0656 698232
Nyumba ya kisasa ina vyumba vtano vya kulala pamoja na master bedroom 3 zilizounganishwa na system ya maj moto na barid,sitting room kubwa ya kisasa, dinning, Jiko,store, public toilet,
Contact...
Nyumba inauzwa ipo chang'ombe usalama ipo barabarani kabisa,ni eneo safi sana kwakuweka godown,yard ya magari,Kama wengine pembeni walivo fanya.bei ni milioni 550.Kama upo serious nichek 0716385824
Nyumba inauzwa Ipo maeneo ya Mbezi makabe
ukubwa wa uwanja ni 20 kwa 30
ina vyumba vitatu(master 1)
Public toilet
jiko na store
Kwa anaye hitaji tuwasiliane kwa simu namba: 0656 135 500
Mimi ni mtumishi wa umma nimehamishiwa kigoma wilaya ya kibondo.nahitaji nyumba ya kuishi kwa anayejua au kwa dalali aliyekaribu tafadhani ni PM natanguliza shukrania
Nyumba inauzwa ipo maeneo ya vetenary temeke.Ina
1.master room moja
2.guests rooms mbili
3.sebule/seating room moja
4.jiko
5.public toilet ya ndani
6.public toilet ya nje
7.visima vya maji viwili...
#Eneo la KIWANJA sqmts 400
#ipo mbezi beach jogoo upande wa kushoto ukitokea mwenge;300 metres from Africana bagamoyo road
#4bedrooms semifinished house inahitaji semifinishing kwasasa INA umeme...
ina chumba Kimoja na sitting room choo cha ndani na Frem na mbele kuna eneo limebaki la kuweza kujenga nyumba kubwa inapatikana kisemvule pwani nje kidogo ya dar bei milioni 26 nicheki 0718097972...
Nyumba IPO mbezi beach kijogoo 300 meters from Africana Bagamoyo Road
#Legal documents available
#Eneo la kiwanja 400 sqmts
#Inahitaji semifinishing kwasasa ina umeme
#Maji ya dawasco yapo...
Nyumba inauzwa ipo maeneo ya ifakara uwanja wa taifa karibu na Birgith english medium school. Iko katka hali nzuri
Ina vyumba 3 vya kulala+ sebure+ dinning+store
20million
Call 068 301 0560 kwa...
Nyumba inauzwa 900m Tshs. Ya ghorofa, ipo eneo zuri la kibiashara. Mazungumzo yapo. kwa mawasiliano wasiliana nami kwa simu 0754060350,0716252818.
Nyote mnakaribishwa!!!!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.