aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,673 Reaction score 3,739 Feb 4, 2023 #1 Nyimbo nzuri video yake ni kama short movie Changamoto ni melody ya nyimbo amesample kutoka kwenye nyimbo ya zilipendwa ya wasafi
Nyimbo nzuri video yake ni kama short movie Changamoto ni melody ya nyimbo amesample kutoka kwenye nyimbo ya zilipendwa ya wasafi
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 10,587 Reaction score 19,838 Feb 4, 2023 #2 Kama wimbo wa zilipendwa ulikuwa kazi Yake akiwa na wasanii wenzake afu yeye ndo alikuwa Mastermind Sasa tatizo liko wapi akisample?
Kama wimbo wa zilipendwa ulikuwa kazi Yake akiwa na wasanii wenzake afu yeye ndo alikuwa Mastermind Sasa tatizo liko wapi akisample?
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 29,097 Reaction score 35,474 Feb 4, 2023 #3 Hamkosagi Chakusema Muonekane tu Wajuaji kumbe hovyo tu
M MTAMBUCA JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 32,853 Reaction score 49,073 Feb 4, 2023 #4 aka2030 said: Nyimbo nzuri video yake ni kama short movie Changamoto ni melody ya nyimbo amesample kutoka kwenye nyimbo ya zilipendwa ya wasafi Click to expand... Kwa hiyo unataka tukupe msaada gani ?
aka2030 said: Nyimbo nzuri video yake ni kama short movie Changamoto ni melody ya nyimbo amesample kutoka kwenye nyimbo ya zilipendwa ya wasafi Click to expand... Kwa hiyo unataka tukupe msaada gani ?
B BodGanleonid JF-Expert Member Joined Nov 14, 2022 Posts 3,021 Reaction score 4,347 Feb 4, 2023 #5 Kwani "zilipendwa" Ni nyimbo ya nani? Na imetokea lebo ipi??
M MTAMBUCA JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 32,853 Reaction score 49,073 Feb 4, 2023 #6 Von Duzy said: Kwani "zilipendwa" Ni nyimbo ya nani? Na imetokea lebo ipi?? Click to expand... Ni wimbo wa Khaligraph Jones kutoka Label ya Young Money Records.
Von Duzy said: Kwani "zilipendwa" Ni nyimbo ya nani? Na imetokea lebo ipi?? Click to expand... Ni wimbo wa Khaligraph Jones kutoka Label ya Young Money Records.
B BodGanleonid JF-Expert Member Joined Nov 14, 2022 Posts 3,021 Reaction score 4,347 Feb 4, 2023 #7 Kipangaspecial said: Ni wimbo wa Khaligraph Jones kutoka Label ya Young Money Records. Click to expand... Basi hakuna haja ya kutaka complain..thread closed.
Kipangaspecial said: Ni wimbo wa Khaligraph Jones kutoka Label ya Young Money Records. Click to expand... Basi hakuna haja ya kutaka complain..thread closed.
aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,673 Reaction score 3,739 Feb 4, 2023 Thread starter #8 Nyooro
N Nzona JF-Expert Member Joined Oct 18, 2022 Posts 4,068 Reaction score 6,310 Feb 4, 2023 #9 Kipangaspecial said: Ni wimbo wa Khaligraph Jones kutoka Label ya Young Money Records. Click to expand... Aisee 🤣😅
Kipangaspecial said: Ni wimbo wa Khaligraph Jones kutoka Label ya Young Money Records. Click to expand... Aisee 🤣😅
N Nzona JF-Expert Member Joined Oct 18, 2022 Posts 4,068 Reaction score 6,310 Feb 4, 2023 #10 Von Duzy said: Basi hakuna haja ya kutaka complain..thread closed. Click to expand... Mkuu umeingia chaka haki ya nani 🤣
Von Duzy said: Basi hakuna haja ya kutaka complain..thread closed. Click to expand... Mkuu umeingia chaka haki ya nani 🤣
B BodGanleonid JF-Expert Member Joined Nov 14, 2022 Posts 3,021 Reaction score 4,347 Feb 4, 2023 #11 Toto mol said: Mkuu umeingia chaka haki ya nani Click to expand...