Zungu aongoza kikao cha Tume ya Utumishi wa Bunge

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu (Mb), ameongoza kikao cha Tume ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika siku ya leo tarehe 24 Machi, 2026 katika Ofisi ya Bunge, Jijini Dodoma.

Katika kikao hicho, Wajumbe wa Tume walipokea na kujadili Taarifa ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.

Mussa Azzan Zungu .jpg

Pia Zungu amekagua ukumbi wa Bunge ambao umefanyiwa maboresho ya kuwekewa mfumo wa kisasa wa sauti ikiwa ni maandalizi kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 3 wa Bunge la 13 ambao mahususi kwaajili kujadili na kupitisha Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 ambao utaanza Machi 31, 2026.

Spika Mussa Azzan Zungu .jpg

Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu (Mb), ameongoza kikao cha Tume ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika siku ya leo tarehe 24 Machi, 2026 katika Ofisi ya Bunge, Jijini Dodoma.

Katika kikao hicho, Wajumbe wa Tume walipokea na kujadili Taarifa ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.

Yaani hii post nime LIKE Mimi tuu😭🙌🏿 mpaka sasa🥵
 
Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu (Mb), ameongoza kikao cha Tume ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika siku ya leo tarehe 24 Machi, 2026 katika Ofisi ya Bunge, Jijini Dodoma.

Katika kikao hicho, Wajumbe wa Tume walipokea na kujadili Taarifa ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.

Pia Zungu amekagua ukumbi wa Bunge ambao umefanyiwa maboresho ya kuwekewa mfumo wa kisasa wa sauti ikiwa ni maandalizi kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 3 wa Bunge la 13 ambao mahususi kwaajili kujadili na kupitisha Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 ambao utaanza Machi 31, 2026.
Daaaaah basi tu
 
ARV zinamlinda sana dadeq !!
 
Nakerwa sana na tabia za wanaharakati za kushabikia midundo ya wanamtandao ,hizi taarifa sijui za mafwele kafanywaje mara zungu kafanya hivi ni twisting tu hakuna chochote ,hao watu wakifanyiwa kweli haiji kama tetesi inakuja live na hata wakikata moto inakuja straight.
 
Waliokuwa wanamuuguza ndio hao hao walizusha...

Possibly, waliona dalili zote kuwa huyu hatoboi, lakini ghafla majini ya Kizimkazi kwa Chura Kiziwi, yakampa uhai wa muda..

Lakini, kwa muonekano wake tu, ni wazi anaumwa, afya yake + uzee unampeleka kaburini. Na hii ni kawaida, sio ajabu...
 
Ukishafikisha 60+ mwili unaanza kuchoka na ukizingatia wao walianza kushika fedha wakiwa na umri mdogo obvious pressure/sukari/132Kva lazima moja wapo itawatafuna.
 
Back
Top Bottom