zuku zuku zuku

zuku zuku zuku

emike

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
345
Reaction score
109
wana jf salaam zenu, katika pita pita kwenye net nimeshangaa kuona zuku wameongeza malipo ya mwezi kwa package zao kwa 20perc kwa kila package!!!!hii imekaaje mbona walishatoa taarifa kwamba pamoja na kuongeza channels hakutakua na mabadiko ya bei!!!!! sasa walalahoi tutakimbilia wapi!!!!! Source zuku.co.tz
 
Mi nilivosikia kuna channels za sports especially ligi kuu Uingereza zitawekwa in July.
 
Hawa jamaa tutawahama mda si mrefu, bora dstv wanagharama lakini wanahuduma bora zaidi
 
mbona hizi channel za kibongo hazionekani na walisema ni free
 
wana jf salaam zenu, katika pita pita kwenye net nimeshangaa kuona zuku wameongeza malipo ya mwezi kwa package zao kwa 20perc kwa kila package!!!!hii imekaaje mbona walishatoa taarifa kwamba pamoja na kuongeza channels hakutakua na mabadiko ya bei!!!!! sasa walalahoi tutakimbilia wapi!!!!! Source zuku.co.tz

Mkuu, nachojua ni kwamba baada ya kuongeza idhaa a.k.a channels, pia wameongeza aina ya vifurushi.
wakati bili yangu ya 40,000 imekuja, niliipotezea kwa kama mwezi hivi, kuja kutaka kulipa nikakuta badala ya 20,000 na 40,000, zikawepo 16,000, 24,000, na 48,000

kwahiyo hapo inategemea na uhitaji wako ni idhaa zipi.
 
ahsante kwa jibu ningeomba unijuze hiyo ya premium iliyokuwa shs 40000 ni channel gani zimeongezeka mpaka iongezwe shs 8000
 
Mkuu, bado sijabadili uelekeo wa dish, yaani sijamuita fundi wao aje kurekebisha, kwa sasa bado ninazo zilezile, ila nikifanya huo mpango soon next week nitakuarifu 8000 niliyoongeza ina stesheni zipi mpya.
 
Back
Top Bottom