Wadau juzi king'amuzi changu cha zuku kilikata network. Jana nikanunua kifurushi cha zuku poa 16000. Chaajabu zile channel walizooredhesha kwenye manu yao hazipatikani hata tbc1 hakuna. Ni za kichina na baadhi za kiarabu. Najaribu kupiga namba zao za huduma hazipokelewi toka jana. Nahisi kama nimeibiwa