zuku jana sikuona uefa mechi kubwa kama ile madrid vs liverpool sijajua kipi kinawashinda hata mechi kama zile ambazo ni rahisi kuzirusha
pili siku za hivi karibuni mmejaza chanel nyingi za kwenu tu kenya ,bila uwiano wa kuongeza chanel za hapa bongo pia kama ,dtv,star tv ,mlimani ,capital hii kitu haiko sawa kwa wateja wenu sisi wa tz.tunaelekea december jitahidin kuboresha huduma zenu kwa hapa tz.ZUKU SPORT MI HUWA SIELEWI LABDA NDUGU ZANGU WAKENYA TV HII SI RAFIKI KWA MTEJA WENU WA TANZANIA MAANA IMEJAA UKENYA TU MAANA NI MICHEZO MINGI YA KIKENYA.