Jolebatawi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 549
- 230
Kwanza niwapongeze sana hawa jamaa wa zuku kwa huduma yao bora, kwa local channels za hapa bongo wana TBC1,CHANNEL TEN,CLOUDS TV NA EATV..Ombi langu nikuwaomba hawa jamaa wapambane kufa na kupona kuhakikisha wanaziingiza channel za ITV NA STAR TV na wakifanikiwa kwa hili nadhani biashara yao itakuwa nzuri sana na hakutakuwa na mshindani wake kidigitali.
Nasema hivyo sababu inapofika saa 2 usiku nakosa stesheni ya maana kwa ajili ya taarifa ya habari, ninapojaribu kuangalia TBC1 nasikia kichefuchefu tu na wala hakuna cha maana kinachozungumzwa.
Pia zuku walikuwa wanatuburudisha na swahili movies ila cha ajabu siku hizi wameanza kurudia marudio ya movies walizokuwa wanaonyesha,JE MOVIES ZA BONGO ZILIVYOJAA HIVI ZIMEWAISHIA???
MKILEWA SIFA TUTAWAHAMA, KWA SASA DIJITALI NI USHINDANI!NI USHAURI TU,MWAWEZA UFANYIA KAZI AU MKAUPOTEZEA