mie king'amuzi changu anayehitaji nakiuza, nililipia miezi mi2 nikaona programs zao hazielewi kabisa, nikaona mara 10000 king'amuzi cha wazanzibar kinachoitwa znz cable, kwanza wale ghali kwa mwezi, na bado program zao hazina kichwa wala miguu zimekaa ka funza hazieleweki, nikawakimbia, napigiwa simu kila mwezi nilipie huduma zao ati wameongeza channel, kwani unalipia full kisha wanakwambia baadhi ya channel za kenya mpaka uwe kenya, ndio nini maana ya kulipia full package