Ni mwaka wa saba sasa sijakuona,
Nayakumbuka maneno yako uliyonieleza uliponiaga kipindi kile nakusindikiza kupanda basi kurejea nchini Tz.
Mpaka leo sauti yako haijanitoka uliponiaga na kuniambia mpenzi wangu:
Iwe mchana au usiku
Iwe mvua au jua
Iwe masika au kiangazi
Uwe mbali au karibu...
Hutokaa unisahau ......lakini mbona miaka imeenda na sijui uliko?
Ulipatwa na nini? au
Nilikuuzi kitu gani?
Popote ulipo tafadhri sikia kilio changu unitafute.
Nakumbuka uzuri wako na heshima binti wa watu.
Japo natambua ulikua smart ila chuo walikudisco kwa sababu
Ulitumia muda mwingi kunicare
Ni mwaka wa 4 sasa toka nihitimu masomo yangu na nimelejea nchini, nakutafuta bila mafanikio.
Ukisoma ujumbe wangu usiache kunitafuta kwa email yangu ile.
Ni mimi pacha wako wa hali zote na siku zote