wakozuka Member Mar 24, 2011 29 3 Mar 25, 2011 #1 jamani nina zte modem ya sudan nataka kuitumia huku tz, kunaanaejua jinsi ya kuiunlock?
drphone JF-Expert Member Sep 29, 2009 3,542 281 Mar 25, 2011 #2 ni modeli gani alafu fungua tread ya modem ipo hapa
Goldman JF-Expert Member Dec 10, 2010 1,930 2,397 Mar 30, 2011 #3 Nina k 3570-z na imei ni 359592035741811 nimechemka kabisa ku unlock, msaada please!