Zoom Tanzania Wanashirikiana na Matapeli??

Zoom Tanzania Wanashirikiana na Matapeli??

NILIAPPY KAZI NA LEO MASSAGE NIMEPATA HII

Hello, am Mr. KAUGA from SVAROCKS LLC Dar, tupo kwenye kikao cha dharura tunapitia cv za kuinterview for I.T. OFFICER post, CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi kwa masharti yafuatayo, salary ni 1,300,000/=(take home) ukilipwa mshahara wa kwanza utanipa laki 4 kwa kukusaidia, na kabla ya saa 12 na nusu jioni leo uwe umetuma Tsh. elfu 35 by tigopesa kwenda namba hiihii ili nimpe mtu wa interview atanipa maswali nitakutumia leoleo kwenye email, ntakupigia simu nikitoka kikaoni.
 
Hilo jina tu la kampuni lina sound kitapeli tapeli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom