Ibun Sirin
Member
- May 20, 2022
- 51
- 113
Ni hadi uwe mchawi, katika nguvu ambazo wanazo wachawi pia Zongo ni moja wapo, japokuwa watumiaji wake ni wachache.Unaweza fanya nini ili uwe na uwezo wa kuwafanyia watu zongo ?
Lete hela nikupe mbinu ya namna ya kuwapiga watu zongo. Huku niliko Kijiji kizima wananiogopa! Kisa tu ni mtaalamu wa kupiga hilo zongo, na pia kisimo.Unaweza fanya nini ili uwe na uwezo wa kuwafanyia watu zongo ?
Siyo gharama sana mkurugenzi. Niandalie tu lita 1 ya mkojo wa paka. Usichanganyike na maji au kitu chochote.Gharama kiasi gani mkuu ?
Uko serious ?
Maana unakuwaga mtu wa utani sana.
Nilijua kuwa uko na utani sana ngoja nianze kukusanya paka niwakojoleshe , kuku bubu sio shida ninaye hapa nyumbaniSiyo gharama sana mkurugenzi. Niandalie tu lita 1 ya mkojo wa paka. Usichanganyike na maji au kitu chochote.
Halafu uje na Jogoo 1 mkubwa bubu na asiyewika! Baada ya kupata hivyo vitu, nitakupa anuani ya kunifikia kwa urahisi..
Mara nyingi uchawi unarithiwa, japo pia kuna uchawi wa kununua, lakini pia inategemea uchawi wa namna gani unauhitaji, kuna uchawi wa kuwanga, kujikinga, kuroga/kuagua watu, kufanya mazingaombwe, kujifurahisha, kudhuru watu n.k. Kwa vyovyote vile shart moja ni lazima kafara zihusike. Maeneo ambayo uchawi unaweza nunulika ni sehemu yoyote ile yenye vilinge vya uchawi.Je nawezaje kuwa mchawi ? Una njia za kunisaidia niwe mchawi ?
Kama hujawahi kulogwa tuma jina lako kama lilivyo pmKuamini ushirikia karne hii ni uzwazwa wa kiwango cha PhD.
😂🤣😅😆😁😄😃😃Hapo Lazima Ufinyie Kwa Ndani TuUnaweza fanya nini ili uwe na uwezo wa kuwafanyia watu zongo ?
Dah kweli kwa Yesu ni raha. Yaani nje huku kuna mahangaiko kweli kweli. Kuchoma chumvi tena?siwezi sema moja kwa moja kama nimepigwa zongo lakin nahisi nina nuksi, ili kutoa zongo/nuksi hiyo chumvi ya mawe inachomwa vipi? kwa utaratibu upi?
😂😂🤣😅😆😁😄😃😃🙃Sawa mkuu asante kwa elimu mujarabu ,Hivyo vilinge viko wapi?
Ukiwashikia panga muda huo huo wanaufyata. Aisee Pwani Zongo ni kawaida sanaWapiga zongo hawana aibu wala utu
Hasa mikoa ya pwani wanapenda sana kupiga zongo watoto wadogo
Kama hujawahi kulogwa tuma jina lako kama lilivyo pm
Sawa. Utaleta mrejesho hapa hapa. Hela ya kujitibu unayo lakini? Inabidi niwe muungwana kidogo katika hiliNakutumia hapa hapa kwanini nije PM: Jumanne Pambogo
Nakutumia hapa hapa kwanini nije PM: Jumanne
Hili jina si halisi. Halionyeshi uwepo wa koo hii unapotokea kijana. Piga picha Rita birth certificate yako itume pm acha majigambo.Nakutumia hapa hapa kwanini nije PM: Jumanne Pambogo