Teacher nasema kama muislamu na jumuia inakusanya watu mmoja mmoja,Bakwata hawasemi haya kwa niaba yangu najitenga kabisa nazo na waislamu wengi naoongea nao hawazipendi.Nasubiri mstari wako wa wimbo huu au chorus mwalimu.Hivi Uporoto una authority ya kuwasemea Waislam?
Note:
Kama hawakubaliki kwa Waislam kusingekuwa na haja ya kuwatungia nyimbo kuwazomea since matamko Yao Bakwata yangekosa wafuasi
Kwa hiyo kimsingi bandiko lako linakinzana
Teacher nasema kama muislamu na jumuia inakusanya watu mmoja mmoja,Bakwata hawasemi haya kwa niaba yangu najitenga kabisa nazo na waislamu wengi naoongea nao hawazipendi.Nasubiri mstari wako wa wimbo huu au chorus mwalimu.