Zoezi la ukaguzi magari na changamoto mpya

Zoezi la ukaguzi magari na changamoto mpya

What Happens to a Tire as It Ages?
Sean Kane, president of Safety Research & Strategies, Inc., compares an aging tire to an old rubber band. "If you take a rubber band that's been sitting around a long time and stretch it, you will start to see cracks in the rubber," says Kane, whose organization is involved in research, analysis and advocacy on safety matters for the public and clients including attorneys, engineering firms, supplier companies, media and government.

That's essentially what happens to a tire that's put on a vehicle and driven. Cracks in the rubber begin to develop over time. They may appear on the surface and inside the tire as well. This cracking can eventually cause the steel belts in the tread to separate from the rest of the tire. An animation on the Safety Research & Strategies Web site shows how this happens. Improper maintenance and heat accelerate the process.

Every tire that's on the road long enough will succumb to age. Tires that are rated for higher mileage have "anti-ozinant" chemical compounds built into the rubber that will slow the aging process, but nothing stops the effects of time on rubber, says Doug Gervin, Michelin's director of product marketing for passenger cars and light trucks.
Hapa unaongelea kuisha kwa tairi linalotumika barabarani (sio lililopo kwenye gari), Mileage inamaliza tairi tena hapo ni tairi linaisha kweli kweli regardless ni miaka mingapi.

Mimi nazungumzia hiyo immediate expiry date ya 4 years kama perishable food ni angalizo tu. Kinachodetermine zaidi kuisha kwa tairi ni mileage.
 
Nimefuatilia kipindi cha Meza Huru Leo kupitia ITV mada ikiwa zoezi la ukaguzi magari linaloendelea nchini, bahati mbaya nilikosa muda wa kuchangia pale studio kwa njia ya simu.

Nimestuka kuona ile gari pale Oysterbay iliokosa stika mpaka ibadilishwe tairi ikitajwa kua life span ya tairi ni miaka minne tu, na zile tairi kwa macho zilionekana poa tu.

Ni kweli kiusalama, lakini nimejaribu angalia hali ya uchumi wa nchi yetu kwa wananchi walio wengi uwezo wa kubadili tairi zote ambazo ki machoni ziko salama naona litakua shida, shida ikizingatiwa mazoea watu tumetumia tairi kuu kuu kwa miaka mingi tu bila shida.

Changamoto- Nikienda dukani ntazipata tairi zilizotengenezwa tarehe ya juzi au za mwezi uliopita? Pengine hata maduka ya tairi mjini wanauza tairi kwa speed ndogo hivyo kuna uwezekano zikawepo tairi zenye tarehe za nyuma au hata zilizopitisha umri wake wa kutumia.

Ushauri kwa Jeshi la Polisi wajaribu pia kupitia stock za wauzaji wa jumla na reja reja kuangalia tarehe za muda wa matumizi ya tairi zikiwa madukani kwao kabla ya mtumiaji wa mwisho kununua, sababu waweza ends nunua tairi kisha kwa life span yake ikawa bado miezi 6 hiyo itakua hasara.

Mamlaka ifuatilie hilo.
Stika bei yake halali na ya kisheria ni elfu 3 sasa mchizi atakuwa aligoma kutoa elfu 10 ambayo ndiyo bei ya soko.[emoji12] [emoji12]
 
Dr Guitar tz
Lakini mkuu jamaa kuambiwa abadili tairi je ni kwa usalama wa askari au kwa usalama wa mwenye chombo? Huoni unaweza ukawa kasi lakini tairi likabust wakati ni jipya? Basi jibu ndo hilo wakuta life span yake imefika na material yaliyotengenezea yashaexpire. So vitu vingine tusiwe tunabisha bali tuwe tunaelewa na kuchukua kama fundisho.

Tukienda madukani ni wajibu wetu kuhakikisha matairi tunayochukua ni sahii na bado life span yake haijakwisha...

HILI NI KWAAJILI YA USALAMA WAKO PAMOJA NA WANAOTUMIA BARABARA WENGINE


Ipo haja ya haya mazoezi kwenda sambamba
  1. TBS wafuatilie madukani yanakouzwa magurudumu yaliyokwisha muda wake na hata yale yanayopigwa sabuni mtaani na kuuzwa kama mtumba isipokuwa kama expiry date ipo ndani ya miaka inayotakiwa
  2. Elimu izidi kutolewa kwa watumiaji wa magurudumu na ikiwezekana hata wasafiri wafundishwe kuzitambua alama za usalama wa gurudumu ili wote kwa pamoja kufikia lengo la usalama wa chombo na watumiaji wake
 
Zoezi hili la kukagua matairilikisimamiwa vyema linaweza kupunguza tatizo la foleni hasa jiji la daresalama.
 
Dr Guitar tz
Lakini mkuu jamaa kuambiwa abadili tairi je ni kwa usalama wa askari au kwa usalama wa mwenye chombo? Huoni unaweza ukawa kasi lakini tairi likabust wakati ni jipya? Basi jibu ndo hilo wakuta life span yake imefika na material yaliyotengenezea yashaexpire. So vitu vingine tusiwe tunabisha bali tuwe tunaelewa na kuchukua kama fundisho.

Tukienda madukani ni wajibu wetu kuhakikisha matairi tunayochukua ni sahii na bado life span yake haijakwisha...

HILI NI KWAAJILI YA USALAMA WAKO PAMOJA NA WANAOTUMIA BARABARA WENGINE
Majitu kama haya ni ya hovyo sana mkuu. Yaani yenyewe yanapinga tuuuuu. Hata mambo ya msingi yenye tija kwa Wananchi wao ni kupinga tu.
Juzi tu hapa Lori limepasuka tairi huko Mkuranga na kusababisha maafa makubwa na vifo zaidi ya Wananchi 24.
 
Mkuu nisheria ipi inatamka muda wa tairi kutumika ni miaka 4 naomba nisaidie hilo kwanza.
Jana nimemsikia afande akisema pale oysterbay baada ya kuikagua Gari Na akaikosoa kwenye tairi tu...sijui kama sheria hiyo ipo
 
Nadhani ungeanza kusafiri safiri mkuu ungejua ajali nyingi zinatokana na nini. Unasikia dereva alikua kwenye speed gari ikamshinda unadhani kwanini gari inamshinda? Moja wapo ni kua na tairi ambazo muda wake umeisha so gari inakua haiko stable. Hii ndo inachangia pia za pancha kwa mara kwa mara kumbe tairi lishajiishia tu.

Mjifunze kubadilika maana najaua nikawaida ya watanzania kununua vitu bila kuangalia expire date ndo maana hata supermarkets nyingi wanauza expired stuffs
Mkuu nasafiri sana mikoa,nimeongelea mjini
Kila hata mkoa kama Gari INA tairi zenye hali nzuri kuu kuu unaenda vizuri tu labda uende Na tairi mbovu.
Mbunge wa Rombo miaka michache nyuma alimpoteza baba mzazi ktk ajali,alipanga safari toka Dar akaandaa Gari kwa service Na kubadili tairi zote,Njiani tairi ikapasuka moja Gari ikabingirika vibaya akafa MTU mmoja
Nakumbuka alikua akalalamikia hili swala la tairi za kariakoo bungeni
Mawazoni mwangu Mimi nikasema angeenda Na tairi zilezile wangefika salama
 
Wafanyee upanuzii wa vilee vituooo nahisii garizoote zitajaa paler wahahakikishe usalama wa gari zawatu hilo muhimu zaidii maana ..ntakujatena
 
Back
Top Bottom