Zoezi la ukaguzi magari na changamoto mpya

Expy date ya tairi huonyeshwa kwa namba 4. Namba mbili za mwanzo ni week iliotengenezwa na namba mbili za mwisho ni mwaka iliotengenezwa. Na kimfano ukikuta imeandikwa 2209 ina somwa hivi... Kwamba imetengenezwa week ya 22 ya mwaka 2009. Sasa ili kujua inaexpy lini inabidi ujumlishe miaka mi4 ijayo. Kwa mfano huohuo hii tairi itexpy 2213.
Angalia zaidi hapaView attachment 728328View attachment 728329
Mkuu nisheria ipi inatamka muda wa tairi kutumika ni miaka 4 naomba nisaidie hilo kwanza.
 
Sio sheria ipi... ndio matairi yalivyotengenezwa hivyo dunia nzima inajua hilo na wenye viwanda wanajua hilo.

Maibishane na uhai wenu
 
Upo sahihi lakini kibongo bongo mhm shughuli itakuwepo kwenye hili...
Halafu athari ya used tyre tena kwa safari za mijini risk yake nadhani Ipo 0.03%...Ki uzoefu ktk miaka 10 hapa mjini Dar sikuwahi sikia Gari imepata ajali mbaya kwa burst ya tyre..ingawa huenda zimetokea
Nadhani ungeanza kusafiri safiri mkuu ungejua ajali nyingi zinatokana na nini. Unasikia dereva alikua kwenye speed gari ikamshinda unadhani kwanini gari inamshinda? Moja wapo ni kua na tairi ambazo muda wake umeisha so gari inakua haiko stable. Hii ndo inachangia pia za pancha kwa mara kwa mara kumbe tairi lishajiishia tu.

Mjifunze kubadilika maana najaua nikawaida ya watanzania kununua vitu bila kuangalia expire date ndo maana hata supermarkets nyingi wanauza expired stuffs
 
Nimenunua kabisa cover ya kuifunika ,,iko tu home nimeifunika sasa hiv,,, jpil wapo barabaran ,,, na mm s mtembeaji usiku,, so sina kazi na gar tena kwa kero hiz za polis
Hizi cover ni bei gani mkuu?
 
Expy date ya tairi huonyeshwa kwa namba 4. Namba mbili za mwanzo ni week iliotengenezwa na namba mbili za mwisho ni mwaka iliotengenezwa. Na kimfano ukikuta imeandikwa 2209 ina somwa hivi... Kwamba imetengenezwa week ya 22 ya mwaka 2009. Sasa ili kujua inaexpy lini inabidi ujumlishe miaka mi4 ijayo. Kwa mfano huohuo hii tairi itexpy 2213.
Angalia zaidi hapaView attachment 728328View attachment 728329
Safi kiongozi somo zuri hili
 
MICHELIN TYRE SERVICES.

BF GOOD RICH TYRE SERVICES.

DUNLOP TYRE SERVICES.

TOTAL TYRE SERVICES.

[emoji4] gari yako itakuwa na ubora kwa kutumia matairi ya kampuni hizo.... ila sana sana tumia michelin na good rich...
 
Sio sheria ipi... ndio matairi yalivyotengenezwa hivyo dunia nzima inajua hilo na wenye viwanda wanajua hilo.

Maibishane na uhai wenu
Kumbe hauna uhakika na ukisemacho mkuu
 
Nadhani ungeanza kusafiri safiri mkuu ungejua ajali nyingi zinatokana na nini. Unasikia dereva alikua kwenye speed gari ikamshinda unadhani kwanini gari inamshinda? Moja wapo ni kua na tairi ambazo muda wake umeisha so gari inakua haiko stable. Hii ndo inachangia pia za pancha kwa mara kwa mara kumbe tairi lishajiishia tu.

Mjifunze kubadilika maana najaua nikawaida ya watanzania kununua vitu bila kuangalia expire date ndo maana hata supermarkets nyingi wanauza expired stuffs
Uzee wa tairi usababishe instability na ajali kwenye gari?

Ah wapi! Not to that extent. Labda kama

1. Tread zimeisha na anapita kwenye lami yenye maji hivyo kukosa control kwasababu ya aquaplaning.

2. Matairi hayakuwa yanafanyiwa rotation, balancing na alignment kwahiyo tairi nyingine zimeisha kuliko nyingine au surface ya tairi imeisha unevenly (kuna milima namabonde) hivyo gari kuwa unstable

Kama tairi limekuwa maintained vizuri na lna tread ya kutosha halitasababisha ajali hata kama lina umri mkubwa.
 
Hizi cover ni bei gani mkuu?
KATA MITAA YA HUMO HUMO KWENU. USIENDE ST PETERS AU KIVUKONI UTAKUTANA NAO. WAKITAKA WAPIGE HODI KWA WAUZAJI WA MATAIRI KUWASAIDIA TBS. HII ITASAIDIA WAUZAJI WAELEZE MWISHO WA MATUMIZI YA MATAIRI YAO. WALAZIMISHWE KUANDIKA WAZI MWISHO. WENGI HAWAJAJUA HII ELIMU.NASHAURI TRAFIKI WATOE VIPEPERUSHI KAMA NI JAMBO MUHIMU BADALA YA STIKA ZA USALAMA ZIWE NA HII HABARI. HILI NI SWALA LA ELIMU ZAIDI YA KUKAMATA. HAKUNA MTU ANAYEPENDA KUNUNUA DAWA ILIYOEXPIRE WALA ITAKAYOEXPIRE KESHO ATUPE ZILIZOBAKI AKANUNUE HYINGINE TENAA? ELIMU NI MUHIMU SANA
 
Duh........
Huu ulimwengu ni wa survival of the fittest, naona maendeleo umeyapa rasmi kisogo
Hapana mkuu mahali natakiwa panda daladala mia 4 ..

Gari mafuta elfu 5 ,nachakaza tair,naongeza km za service na kwepa majanga ya ajali ,,mana watu wanastress so barabaran wako hovyo mno,, bado trafic elfu 10-30 ..sasa hapo kipi cha kunipa mm maendeleo ya haraka
 
Hiyo ya juu imetengenezwa week ya 9 ya mwaka 2007. Maisha yake ni miaka 4 itaexpy 0911.

Ya chini imetengenezwa week ya 29 ya mwaka 2010.
Kwenye tair panakuwa na maelezo yote, speed inayotakiwa, upepo unaotakiwa, uelekeo, uzito wa kubeba ukubwa na kila kinachoihusu hiyo tairi. Na kama sikosei size ya tairi inayotakiwa kufungwa kwenye gari huonyeshwa ktk mkanda wa dereva. Tuwe makini jamani uswahilini watu hubadlisha size za tairi ktk gari labda kwa kutaka yapendeze lakini hawajali gari liliundwa litumie size gani! Matokeo yake gari inakuwa unstable hupelekea ajali zisizoeleweka!

Life span ya tairi zote ni Sawa
 
Uzee wa tairi usababishe instability na ajali kwenye gari?

Ah wapi! Not to that extent. Labda kama

1. Tread zimeisha na anapita kwenye lami yenye maji hivyo kukosa control kwasababu ya aquaplaning.

2. Matairi hayakuwa yanafanyiwa rotation, balancing na alignment kwahiyo tairi nyingine zimeisha kuliko nyingine au surface ya tairi imeisha unevenly (kuna milima namabonde) hivyo gari kuwa unstable

Kama tairi limekuwa maintained vizuri na lna tread ya kutosha halitasababisha ajali hata kama lina umri mkubwa.
Au sio endelea kubisha mpaka siku tunakuimbia parapanda
 
Mikwara bila backup ya sayansi haisaidii. Eleza vipi hasa au kwenye mazingira gani tairi zenye more than 4 years zinakuletea ajali na kwanibi age ndio determining factor.
 
Kumbe hauna uhakika na ukisemacho mkuu
Kama unajua kizungu soma

What Happens to a Tire as It Ages?
Sean Kane, president of Safety Research & Strategies, Inc., compares an aging tire to an old rubber band. "If you take a rubber band that's been sitting around a long time and stretch it, you will start to see cracks in the rubber," says Kane, whose organization is involved in research, analysis and advocacy on safety matters for the public and clients including attorneys, engineering firms, supplier companies, media and government.

That's essentially what happens to a tire that's put on a vehicle and driven. Cracks in the rubber begin to develop over time. They may appear on the surface and inside the tire as well. This cracking can eventually cause the steel belts in the tread to separate from the rest of the tire. An animation on the Safety Research & Strategies Web site shows how this happens. Improper maintenance and heat accelerate the process.

Every tire that's on the road long enough will succumb to age. Tires that are rated for higher mileage have "anti-ozinant" chemical compounds built into the rubber that will slow the aging process, but nothing stops the effects of time on rubber, says Doug Gervin, Michelin's director of product marketing for passenger cars and light trucks.
 
Back
Top Bottom