PintoG
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 612
- 732
Kinachoendelea Dar kwa zoezi lililobuniwa na bashite la kuwapa watu fulsa ya kuwaona wanasheria na kutoa dukuduku zao limepata mwitikio mkubwa na watu wengi wanasifia kwa namna wanavyosaidika ,
kiukweli hata mimi nimeona ni jambo ambalo limeweza kuibua makubwa yaliyokuwa yamejificha ,dhuruma zilizokuwa zimepewa kibari lakini sasa zimetibuka.
hii inaonesha kulikuwa na udhaifu sana wa utendaji wa kitaasisi hasa zile zinazohusika na huduma kwa jamii.
Ombi langu, mkuu wa mkoa kama anataka kutibu chanzo cha haya matatizo, apambane kuimarisha taasisi ili mambo yawe endelevu.lazima mfumo uwe wazi na huru kutatua matatizo ya wananchi on daily bases. tumpongeze kwa hili pia ,