Zizou vs Ronaldinho

hawa viungo wote wamecheza na Ronaldo de Lema. Na timu zao zikapata mafanikio makubwa
 
Kaka Dhino is the best footballer ever in this planet, namkumbuka siku ile Barca walipo kipiga na Real Madrid ya Ukweli Ukweli (Zizhou, Delima, Spice boy, Figo, Raul, n.k) ndani ya St.Barnebaeu, Barca waliipiga Real 3-0. Dhino alichukua mpira toka katikati ya uwanjaa na kufunga goli. I libidi mashabiki wa Real Madrid wasimame na kumpa heshima zake the saint.
Since then sjiawahi ona kitu kama ile, Dhino alikuwa akiongea na mpira na mpira ulikuwa unaongea nae.
Mwanangu hapa Dhino, katikati Deco, Mbele Etoo, pembeni Messi kazi ilikuwa inakua pevu, Dhino alikuwa anatoa pasi za kichogoni na lazima ilikuwa imkute mmoja wapo kati ya watu hao
 
Sema sema Baba...
Nikisema mimi ntaambiwa ni muumini wa Mtakatifu Gaucho ndio maana namfagilia.

Dinho siku hiyo aliwapiga Madrid goli mbili sawa kwa kimtazamo lakini ni tofauti kwa mtiririko.
Alikuwa anatokea kushoto kisha anaisasambua ngome ya Madrid na kisha anafunga.

Forza Dinho
Sempre' Dinho
 
Ronaldinho nakumbuka akiwa na Barcelona alifunga goli ambalo sijawahi kuliona maishani mwangu, alimpiga chenga refa, kipa, mabeki, wachezaji wa timu yake na sisi mashabiki. Alitingisha kiuno, tukiwa tunashangaa sebene lake, akauingiza mpira wavuni. Kipa hakujisumbua kuufuata mpira.
Dinho ni noma
 
hiyo ilikuwa UEFA ya mwaka gani?
 
Zizzou ni noma, alikua ana nguvu na akili, alliutoa mipira na kuupeleka alipotaka! Achana na prof Zizzou aisee!
 
Ronaldinho nakumbuka akiwa na Barcelona alifunga goli ambalo sijawahi kuliona maishani mwangu, alimpiga chenga refa, kipa, mabeki, wachezaji wa timu yake na sisi mashabiki. Alitingisha kiuno, tukiwa tunashangaa sebene lake, akauingiza mpira wavuni. Kipa hakujisumbua kuufuata mpira.
Dinho ni noma
Barcelona vs Chelsea UEFA champions, Stamford Bridge, nikumbushe mwaka
 
Dinhooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom