Rahabu JF-Expert Member Joined Jan 21, 2014 Posts 5,527 Reaction score 3,345 Feb 26, 2014 #1 habari zenu wana MMU wote mana nikama siku tano cjadhuru humu daaa ila natumai wote wazia kuanzia couples, marafiki, madada na makaka humu,marafiki, mashangazi na wajomba,akina paroko na wasaidizi wake, wakaguzi, nk jaman salamu zangu kwa nyote
habari zenu wana MMU wote mana nikama siku tano cjadhuru humu daaa ila natumai wote wazia kuanzia couples, marafiki, madada na makaka humu,marafiki, mashangazi na wajomba,akina paroko na wasaidizi wake, wakaguzi, nk jaman salamu zangu kwa nyote