Ziwa Duluti, Arusha

Haah Kanje the real Phisics teacher ever seen , Yaan Yule teacher anajua..Nlipokuwa advance nlimkumbuka sana maana nlikutana na mijiwalimu hata kufundisha haijui....Kuna Mwandunga respect sana, Kuna mwalimu wa history yule jina limenitoka kidogo kuacha lyaruu respect zake pia, madam wa kiswahili respect sana, kemia na biology kama utakumbuka majina nitajie niwape respect zao
umenifanya nimkumbuke kindege na kanje loh wapi lyaruu nataman enzi zirudi
 
Umenikumbusha Ziwa Duluti in the 90's tulikuwa tunafanya beach party za nguvu hapo na totoz za kumwaga.
 
😂😂 sura zao nazikumbuka lakini majina wengi nimeyasahau, watu wamepoteana eb nambie ulikua science ipi??
 
Kimia, Pastor, Double look, Masenyi atc
 
Hahha hahhha umenikumbusha double look, eti akiwa anasimamia mtiani akikuangalia ndo unatakiwa upige chabo ila ukiona anaangalia pemheni usithubutu....eti akikuangalia ndo hakuoni
Kimia, Pastor, Double look, Masenyi atc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…