Ziwa Duluti, Arusha

mkuu hilo jina sio majina ya kutohoa kutoka duniani kweli? (Minnesota)
 
Nakumbuka tulienda as a class tour 2016 kama sikosei. Panavutia,tulilizunguka ziwa lote na kupanda juu kwenye milima inayolizunguka ambapo kuna watu pia wanasali sana na wengine wanatambika if am not mistaken, the place ni nzuri asee.
 
Thanks for your review[emoji23][emoji23]

Tanzania tuna vivutio vingi sana
 
wanasema lina chunusi alizama siku nzima ikabidi walinzi wa hapo wawaondoe wenzetu kinguvu sababu waligoma kutoka mpaka wauone hata mwili ajabu alikuja ibuka kesho yake

Inauma..kwann sasa aliingia na huku yuko pombe,?dah..maskn wazaz wake
 
Kuna classmate mwenzangu alifia hapo jamani ni siku chache kabla ya matokeo kutoka r.i.p yobo
Heeh! we mtu kama nakujua vile ......RIP Yobo, Sitaisahau ile safari, ila ilichangiwa na laana za walimu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…