Ziwa Duluti, Arusha

Yap yule alikua na makengeza flan hivi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jamani kuna siku mwandunga alinipa adhabu ya kusimama na mwembe kisa skuja na daftsr la civics ikawa huyu baba akinisemesha nashindwa kujua anapoangalia hahahhaa
 
hakuna sehemu nimewahi kutembea kisha nikapata hofu kuu zaidi ya hapo duluti....ziwa halieweki maji yake yanatoka wapi na wala hayapungui...kibaya zaidi dogo mmoja aliingia kuogelea hapo akanywa vikombe akafa...namkumbuka cousin wake aliitwa boris miaka hiyo.. halafu tukapewa sharti ikifika saa sita mchana tusisogee ziwani hata pembezoni....na kuogelea marufuku..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani kuna siku mwandunga alinipa adhabu ya kusimama na mwembe kisa skuja na daftsr la civics ikawa huyu baba akinisemesha nashindwa kujua anapoangalia hahahhaa
Hahha nakumbuka ile siku ....nakumbuka tukiwa form 2 , Mwandunga alikuwa anapita kwenye kibaraza akawa anaongea na mwalimu mwenzie, akamuuliza kwa nguvu Wapiiii....mtu mmoja darasani akaitikia " Dar mpaka Moro". Zilitembea fimbo hizooo....ila watu hakumtaja duuuh , raha sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka sana mkuu
 
Alikuwa Vilet nimekumbuka , ila watu hatukuntaja licha ya fimbo za mgongo kutembea darasa zima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…