Umejuaje sina pesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] if you don’t interest in politics it doesn’t mean politics doesn’t have interest in you. Kama hujui wanasiasa wanaweza kuamua kuzima data usiku huu nchi nchi nzima na wewe usiweze kuingia hapa Jamii Forums.Tafuta pesa kijana usaidie wazazi wako.
Hakuna mwanasiasa masikini na haitakuja kutokea...
Hakuna mwenye pesa anazurula kwenye social net works kujadili watu.Umejuaje sina pesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] if you don’t interest in politics it doesn’t mean politics doesn’t have interest in you. Kama hujui wanasiasa wanaweza kuamua kuzima data usiku huu nchi nchi nzima na wewe usiweze kuingia hapa Jamii Forums.
Umetoa ushauri ambao utamjenga yeye na pia kua msaada kwa jamii pana,tatizo anapenda sifa kupitiliza,pia haaminikiUmejuaje sina pesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] if you don’t interest in politics it doesn’t mean politics doesn’t have interest in you. Kama hujui wanasiasa wanaweza kuamua kuzima data usiku huu nchi nchi nzima na wewe usiweze kuingia hapa Jamii Forums.
Hakuna mwenye pesa anazurula kwenye social net works kujadili watu.
Wapi nimesema nina pesa?Kwahiyo wewe huna pesa pia?
Wapi nimesema nina pesa?
kwan heshima yake mnaipimaje? kwa kushiriki vurugu?Mimi niwakigoma lakini jamaa heshima yake imeshuka aende tu ccm hana mvuto zito amebaki wahovyo kabisa
kama ipi kwa mfano? huyo bibi almanusra aolewe ila mdomo ulimponza, ona sasa mwili ushaota sugu kila sehem anashangilia marehem alieacha watotoSijapendeza ulivyo wa portray Maria Ssrungi na Fatma Karume. Yaani umewataja tu kuwa wanaharakati.
Nikuhakikushie kuwa baada ya Mwendazake kuvibana vyama vya upinzani na kutisha vyombo vya habari, hawa watu wa TOT ( Tanzania on Twitter) ndio walibakia WAKOSOAJI wa udhalimu wa Magufuli.
Wape heshima wanayo stahili
aliemchukua mgombea uraisi ccm kabisa ndo anaaminika?Umetoa ushauri ambao utamjenga yeye na pia kua msaada kwa jamii pana,tatizo anapenda sifa kupitiliza,pia haaminiki
Lake Tanganyika Political Pimp of all time.Sikujui hunijui Ila nakufahamu kama mwanasiasa makini sana na ukiwa kwenye ubora wako Taifa litanufaika.
Sasa nisikilize.
Kuna dalili zote bado haujapona na majeraha ya kupoteza ubunge wako na unafanya juu na chini ubaki relevant kwenye medani za siasa.
Shida ipo kwenye mbinu ama strategies unazotumia kubaki relevant ili system ikutambue.
Nahisi umepoteza muelekeo wa kisiasa, umebaki kuishi na matokeo.
Umekua mwanaharakati zaidi na ilifikia wakati nilishindwa kukutofautisha na the likes of Fatma Karume na Maria Sarungi.
Kwa sisi tuliosoma Political Science, unaanza kuwa Mwanaharakati then Mwanasiasa na sio kinyume.
Hilo moja, pili nahisi Zitto umepoteza ushawishi wa kitaifa kutokana na dhana ya kutokua na msimamo. Ukitaka kudhibitisha hilo njoo hapa Kinondoni, itisha mkutano wa had hada halafu pima muitikio wa watu.
Zitto wa Leo sio Yule wa 2010 - 2015, system inakupuuza kwa sababu umepoteza relevance.
Nini unachotakiwa kufanya?
Sina uhakika na umri wako but nakadiria kati ya 45 mpaka 50. Kwenye Siasa huo ni umri mdogo sana, una miaka mingine kama 25 ndani ya Siasa.
Unachotakiwa kufanya ni kurudi nyuma na upange urejeo wako ‘The Come Back’
Tafuta washauri wa kisiasa, ni kujichimbia kaburi kutegemea vijana wadogo kama Abdul Nondo. Bahati mbaya Mzee Seif Shariff Hamad alitutoka mapema angekua msaada mkubwa Kwako. Naamini kuna wazee wengi ndani ya ACT upande wa Zanzibar, unaweza ukijrudi na kutafuta ushauri kwa wazee wengine wastaafu, bottom line unahitaji ushauri kuna makosa mengi madogo madogo unayoendelea ya kuyafanya.
Mwisho, Waachie Twitter wanaharakati, Siasi ipo mashinani,ingia field.
Mwisho, You may have lost the battle but not the war.
Hapo Vipi?